Sina shaka CCM watafanya kampeni za matusi na kashfa kama 2015. Je, Tundu Lissu ajibu mapigo? Je, vyombo vitakaa pembeni au vitapendelea CCM?

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
Uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%.

Kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015.

Bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za uhakika.

Safari hii tunao Tundu Antiphas Lissu, Bernard Camilius Membe, ...watu ambao wana uwezo wa kujisemea wenyewe, na kujibu kashfa kwa kashfa.

Ninachojiuliza ni kama Jpm ana kifua cha kuvumilia matusi na kashfa kama wagombea wa vyama vingine wanavyovumilia kashfa na matusi toka kwa CCM.

Pia vyombo kama Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola vitachukua hatua gani? Je, vitaadhibu vyama mbadala na kumuacha Jpm na ccm wafurumushe uzushi, kashfa, na matusi?
 
Vipi mbona mna wasawasi kama mnaoga nje?? ukweli ni CCM inashinda October hata wewe unalifahamu hilo ila utafanyaje sasa🤣 pambaneni mpate walau hata wabunge wawili
 
..nina wasiwasi nikikumbuka jinsi Lowassa alivyokuwa akitukanwa na wapiga debe wa Jpm.

..pia kauli ya kizushi ya Jpm kuwa wapinzani wakishika nchi watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper imenishtua.
 
Mzee pombe mbona anatukanwa sana kwenye mitando, badala ya kutupa Sera zenu mnakaa mnalilia hapa
 
..Ukweli utakuweka huru.

..safari hii CCM wanatukana kuzidi vyama vyote.

..na kitu kibaya ni kwamba hawachukuliwi hatua hivyo wanazidi kuvimba vichwa na kujenga mazoea.
 
..uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%.

..kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015.

..bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za uhakika.

..safari hii tunao Tundu Antiphas Lissu, Bernard Camilius Membe, ...watu ambao wana uwezo wa kujisemea wenyewe, na kujibu kashfa kwa kashfa.

..Ninachojiuliza ni kama Jpm ana kifua cha kuvumilia matusi na kashfa kama wagombea wa vyama vingine wanavyovumilia kashfa na matusi toka kwa ccm.

..Pia vyombo kama Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola vitachukua hatua gani? Je, vitaadhibu vyama mbadala na kumuacha Jpm na ccm wafurumushe uzushi, kashfa, na matusi?
CCM walimkashifu lowasa kumzidi Lisu?
Maana hata kwenye ile list of shame aliyoiandaa Lissu mwenyewe alimuweka wa kwanza.
 
..Ukweli utakuweka huru.

..safari hii CCM wanatukana kuzidi vyama vyote.

..na kitu kibaya ni kwamba hawachukuliwi hatua hivyo wanazidi kuvimba vichwa na kujenga mazoea.
Kwani Lisu alichukuliwa hatua gani alipokuwa akimkashifu Lowasa kuwa ni fisadi?
 
..uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%.

..kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015.

..bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za uhakika.

..safari hii tunao Tundu Antiphas Lissu, Bernard Camilius Membe, ...watu ambao wana uwezo wa kujisemea wenyewe, na kujibu kashfa kwa kashfa.

..Ninachojiuliza ni kama Jpm ana kifua cha kuvumilia matusi na kashfa kama wagombea wa vyama vingine wanavyovumilia kashfa na matusi toka kwa ccm.

..Pia vyombo kama Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola vitachukua hatua gani? Je, vitaadhibu vyama mbadala na kumuacha Jpm na ccm wafurumushe uzushi, kashfa, na matusi?

EL alikuwa hawezi hatakuongea vizuri na kwa nguvu. Moja ya wapambe wake na waongeaji wake wakuu aliokuwa akizunguka nao kumnadi na kunipigia kampeni ni Lissu. Nini cha zaidi unategemea kutoka kwa huyu mjasiriasiasa, Lissu?
 
..basi asichukuliwe hatua atakapoanza kutaja uhalifu na ufisadi wa Jpm kwa mfano uuzaji wa nyumba za serikali.
 
..uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%.

..kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015.

..bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za uhakika.

..safari hii tunao Tundu Antiphas Lissu, Bernard Camilius Membe, ...watu ambao wana uwezo wa kujisemea wenyewe, na kujibu kashfa kwa kashfa.

..Ninachojiuliza ni kama Jpm ana kifua cha kuvumilia matusi na kashfa kama wagombea wa vyama vingine wanavyovumilia kashfa na matusi toka kwa ccm.

..Pia vyombo kama Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola vitachukua hatua gani? Je, vitaadhibu vyama mbadala na kumuacha Jpm na ccm wafurumushe uzushi, kashfa, na matusi?
Vyombo vya dola na Tume ya uchaguzi walishapewa salamu zao jana na Mzee Butiku. Njia ni nyeupe sana kwa Lissu mwaka huu!!
 
..uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%.

..kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015.

..bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za uhakika.

..safari hii tunao Tundu Antiphas Lissu, Bernard Camilius Membe, ...watu ambao wana uwezo wa kujisemea wenyewe, na kujibu kashfa kwa kashfa.

..Ninachojiuliza ni kama Jpm ana kifua cha kuvumilia matusi na kashfa kama wagombea wa vyama vingine wanavyovumilia kashfa na matusi toka kwa ccm.

..Pia vyombo kama Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola vitachukua hatua gani? Je, vitaadhibu vyama mbadala na kumuacha Jpm na ccm wafurumushe uzushi, kashfa, na matusi?
Mbona hata sasa munamtukana sana rais lakini amekaa kimya?. Fanyeni yooote lakini ushindi kwa ccm haupukiki. Mkipata mbunge hata mmoja mutakua mumejitahidi sana.
 
..ccm ndiyo wanaotukana zaidi vyama mbadala.

..kwa mfano, Cyprian Musiba mbona hachukuliwi hatua?
 
Nadhani kwa kampeni hizi, tutawatambua wale waliomshambulia jamaa kwa marisasi. Wametegwa kwa maneno yao na watanasa tu. Time will tell. Sikiliza kwa makini fuatilia kampeni kwa makini kwenye mitandao, na soma magazeti kwa makini utawatambua.
 
..uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%.

..kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015.

..bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za uhakika.

..safari hii tunao Tundu Antiphas Lissu, Bernard Camilius Membe, ...watu ambao wana uwezo wa kujisemea wenyewe, na kujibu kashfa kwa kashfa.

..Ninachojiuliza ni kama Jpm ana kifua cha kuvumilia matusi na kashfa kama wagombea wa vyama vingine wanavyovumilia kashfa na matusi toka kwa ccm.

..Pia vyombo kama Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola vitachukua hatua gani? Je, vitaadhibu vyama mbadala na kumuacha Jpm na ccm wafurumushe uzushi, kashfa, na matusi?
Delete ccm Oct 28
 
Najua ccm wanakwenda kufanya makosa makubwa makubwa mwaka huu ambayo yatapigilia msumari wa mwisho kwenye box lao, moja ya makosa hayo ni kumbughudhi Lissu na kutumia nguvu kushinda.

Hakuna matusi mbona unahisi!
Vipi mbona mna wasawasi kama mnaoga nje?? ukweli ni CCM inashinda October hata wewe unalifahamu hilo ila utafanyaje sasa🤣 pambaneni mpate walau hata wabunge wawili
..nina wasiwasi nikikumbuka jinsi Lowassa alivyokuwa akitukanwa na wapiga debe wa Jpm.

..pia kauli ya kizushi ya Jpm kuwa wapinzani wakishika nchi watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper imenishtua.
Mzee pombe mbona anatukanwa sana kwenye mitando, badala ya kutupa Sera zenu mnakaa mnalilia hapa
..Ukweli utakuweka huru.

..safari hii CCM wanatukana kuzidi vyama vyote.

..na kitu kibaya ni kwamba hawachukuliwi hatua hivyo wanazidi kuvimba vichwa na kujenga mazoea.
EL alikuwa hawezi hatakuongea vizuri na kwa nguvu. Moja ya wapambe wake na waongeaji wake wakuu aliokuwa akizunguka nao kumnadi na kunipigia kampeni ni Lissu. Nini cha zaidi unategemea kutoka kwa huyu mjasiriasiasa, Lissu?
Mbona hata sasa munamtukana sana rais lakini amekaa kimya?. Fanyeni yooote lakini ushindi kwa ccm haupukiki. Mkipata mbunge hata mmoja mutakua mumejitahidi sana.
 
Najua ccm wanakwenda kufanya makosa makubwa makubwa mwaka huu ambayo yatapigilia msumari wa mwisho kwenye box lao, moja ya makosa hayo ni kumbughudhi Lissu na kutumia nguvu kushinda.

Lissu atajibughudhi mwenyewe, ila leo nadhani kuna ujumbe kapata kutoka kwa wakazi wa Dodoma. Ajitahidi kuelewa mambo aache papara inaonesha hajui maboresho yaliyofanywa, pia na idadi ya tozo katika kilimo zilizofutwa na awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom