ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi. Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
  2. S

    GE2020 Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi CCM jimbo la Butiama mtalaaniwa

    Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa? Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna...
  3. Ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, kwa kuokoa muda, kuangalia ustawi wa chama na kutozalisha 'makundi', ningefanya haya upesi tu

    Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu 'Mchakato' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge...
  4. GE2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

    Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi. My behavioral psychanalysis is:- Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi: Makonda ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na amekabiliana na tough times kuliko wakuu wote wa mikoa hapa...
  5. GE2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

    Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne. Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
  6. GE2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

    Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na vibaraka wao na waliohujumu CCM uchaguzi wa 2015 yameanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni maeneo...
  7. GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  8. CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  9. GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  10. M

    Kwa CCM ni ipi dhana ya kuwa uchaguzi kwa watia nia?

    Habari wakuu! Kila siku Kuna habari mpya nchi Tanzania kutokana na Taifa linaenda kuingia katika uchaguzi wa viongozi. Mnamo 20/07/2020 uchaguzi kwa WATIA NIA ya kugombea upande wa chama Tawala ulianza na mpaka hivi Sasa unaendelea, lakin Jana mida ya saa 1 nimepata kuona kapost Fulani...
  11. GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
  12. Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini? Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
  13. O

    Je, Watanzania wote ni CCM wa kuzaliwa?

    Siku mbili kuanzia Jana Tarehe 20 July 2020, CCM wamekuwa na Kura za Maoni ndani ya Chama chao, kitu pekee katika mchakato huu ni namna ulivovuta hisia za Watanzania bila kujali vyama vyao, Wote tumetega masikio na kufungua macho kuuona wana CCM wataamua nini Binafasi nawafahamu washindi wa...
  14. Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  15. M

    Dkt. Mwigulu alivyoununua uongozi wa CCM Wilaya wampigie debe

    Juzi baada ya kushtukia mpango wa viongozi wa CCM Wilaya kumpatia kura Dkt. Mwigulu Nchemba mpango huo ulichezwa kwa namna ingine. Pamoja na kuweka mazingira yote kuwa kura zitahesabiwa kwa uwazi na taratibu zingine zote kufuatwa bado Dkt. Mwigulu alikuwa kishawashawishi viongozi wote wa CCM...
  16. GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  17. CCM ni mfano halisi wa shamba la bibi, Mali za chama ni ulaji wa makada

    Wilayani kwetu tangu nikiwa mdogo, kuna kiwanja kilichotengwa kwa ujenzi wa Ofis za Chama Wilaya, kiwanja hiki kilikuwa kwenye prime area kinatazama barabara kuu. Wakubwa walifika bei na kumuuzia Mwarabu ambae amejenga Hotel. Mpaka sasa ofisi ya CCM ni ile ile iliyokuwa ya TANU. Kuna pesa za...
  18. Leo imedhihirika kuwa bila CCM imara Tanzania itayumba. Tanzania kwa takribani wiki nzima imesimamishwa na Uchaguzi wa CCM

    Kwa kweli yaliyofanyika kuanzia Uchaguzi wa kuwapata wagombea Urais kule Zanzibar kuanzia ile tarehe 8 mpaka leo nchi yetu imesimama kwa maana ya uwazi wa mchakato wa uchaguzi ulivyokuwa Haijawahi kutokea popote Duniani kwa chama chochote tangu kuumbwa kwa Dunia kuwa na mvuto kama wa CCM mwaka...
  19. NEC igeni CCM jinsi ya kuhesabu kura. CCM mmeonyesha mfano

    Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, ameagiza kwamba kura za maoni za Ubunge, uwakilishi na udiwani zinazoanza leo zihesabiwe hadharani kama ilivyokuwa wakati kuhesabu kura za Wagombea Urais wa Zanzibar.
  20. T

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…