ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kuwa Mpinzani au CCM haimaanishi uwachukie na kuwatukana Upande wa Pili

    CCM ina watu wengi wa hovyo ambao wanaishi kwa kujipendekeza na kuangalia maslah yao. Tuna mfano wa Nape Nnauye huyu tunafahamu kwa kiasi kikubwa alikosa malezi mazuri baada ya kulelewa na baba ambaye si wa damu yake. Kipindi kile anapambania tumbo lake wapinzani hawa hawa walianza mpamba na...
  2. M

    Uminywaji wa Habari na ugumu wa maisha ndio kaburi la Chama Changu CCM

    Siyo tu kwamba wananchi wametuchoka, bali wanatuchora na wengi kimya kimya hadi wana CCM wenzangu wanatumia njia mbadala kutafuta habari. Wananchi wako Facebook, Instagram, Youtube, google, telegram, signal na Whatsaap wakimtafuta yule tusiyempenda na pale wanapozipata habari zake...
  3. T

    CCM yangu tunazidi kuonesha ushamba! Sio kupigiwa kura tu hata kukihama CCM sasa nipo tayari maana tunachukiwa kweli!

    Ndiyo maana tumekuwa tukiitwa "watawala washamba" - hii ni kweli kabisa kabisa! Tena ninashuhudia jinsi tunavyochukiwa - hatuoneshwi wazi lakini CCM wenzangu ukweli ni tunachukiwa kweli kweli! Tunajaribu kuminya uhuru wa vyombo vya habari - lakini simu hizi ndiyo zinatumaliza zaidi. Watu...
  4. GE2020 Tathmini: Tamasha la CCM lilikuwa la hovyo na aibu tupu

    Kwanza kabisa waandaaji hawakuwa na uhakika wa kile walichokua wanataka kukifanya! Hawakujua agenda au maudhui ya kusanyiko hilo, matokeo yake ilikua kama gulio la wahuni au tuite panya road. Pili, hakukua na nidhamu, lugha za kihuni (Mbasha, Halafu wewe ni bangi sana), kulikuwa na kupigana...
  5. R

    Adam Mchomvu aomba radhi, asema alikwazika

    “Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
  6. J

    GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  7. TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

    Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari... Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari... Ukiingia katika website ya...
  8. Maisha ya Nape CCM Ni sawa na maisha ya digidigi porini

    Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM. Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM. Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi. Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM. Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba...
  9. Kwa picha ya kiroho, Ilikuwa lazima tukio la jana litokee uwanja wa uhuru. Mungu anazidi kupeleka ujumbe kwa CCM

    Namejaribu kuangalia tafsiri ya picha kwa kilichotokea jana. Adam Mchomvu kavalia shirt iliyoandikwa 1961 ambayo ndo siku ya Uhuru. Naamua kumuweka kama mwananchi anayependa maudhui ya kwanini tulipata uhuru mwaka 1961. Jukwaani yupo Emmanuel Mbasha amevalia mavazi ya kada wa CCM na kofia ya...
  10. J

    Wagombea ubunge Mwijaku na Mbasha wameiaibisha CCM kwa kukosa maadili

    CCM ni chama cha watu wastaarabu wasiopenda tabia za hovyo hovyo sasa inapotokea wanachama wake tena wanaogombea uongozi kukosa maadili inafikirisha sana. Hebu fikiria unapokuwa na mbunge anayetuhumiwa kupost picha za utupu mitandaoni taswira ya chama inaonekanaje? Au mbunge anayepigwa mitama...
  11. CCM wanatumia voter suppression tactics lakini Watanzania wa leo sio wajinga

    Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting. Kwa Kiswahili...
  12. CCM wanajua kucheza Kete za Draft

    CCM WANAJUA KUCHEZA NA KETE ZA DRAFT Na, Robert Heriel Siasa ni kama mchezo wa Draft, mchezo unaohitaji akili zaidi kuliko jambo jingine, Mchezo wa Daft unahitaji mtu mwenye hesabu za mbele na haraka mno, Mchezo wa Draft unahitaji mtu anayejua na kuiona mitego ya adui, Mchezo wa Draft...
  13. S

    CCM tayarisheni mashine za kupumulia, mmelisikia tetemeko huko visiwani ?

    Wazee wenye elimu wametujuvya ya kuwa mara hii CCM inaanguka na sehemu ambayo itapigwa na chini ni Zanzibar ni baada ya kutokea tetemeko la ardhi baharini hivi majuzi, wazee hao walienda mbali zaidi na kusema hii sio dalili nzuri kwa CCM na kwa ishara hizi halina dawa wakubali tu bora nusu shari...
  14. B

    Mfahamu Henry J. Manyama mmoja wa vijana walionekana kumpinga Tundu Lissu wilaya ya Hai

    Huyu ni mzaliwa wa Bukombe na Mkazi wa Mwanza, alipata mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa Kigoma na baadaye kuajiriwa serikalini Mwaka 2017. Kituo Cha kazi ni Dodoma, hana makazi Hai, anaonekana kwenye clip akiwa nyuma ya mwongoza maandamano. Sambamba naye yupo sister Blandina Lucian Kalinzi...
  15. Kumbukumbu: NCCR CCM Wapigana ngumi kariakoo

    Kama gazeti letu lilivyoandika Wakati wa uchaguzi 1995. Watu wenye mahaba na wagombea wao walikuwa wanawatetea kinagaubaga...walikuwa wanawatetea mbwai kwa mbwai hakuna kulemba. Sasa hizi CCM inatetewa na dola badala ya kujenga hoja wanalipua mabomu na kupiga watu mawe .
  16. GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu. Ni aibu...
  17. Temba wa TMK wanaume ashushwa jukwaani baada ya kuwaponda Polisi kwenye jukwaa la wasanii wa CCM uwanja wa UHURU

    Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake! "Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda" Kilichofuatia...
  18. CCM mnaniita mnyonge, mmeninyongonesha tangu mnichukue kwa mkoloni. Niwapende kwa lipi?

    Wakati tukijiandaa kupata baraka la kupuliza kipenga cha ufunguzi wa kampaini za kuomba ridhaa ya kuongoza tena Bado nafikiria hawa watu CCM waliokabidhiwa nchi kutoka kwa mkoloni mweupe nao wakajigeuza mkoloni mweusi kwa kutenda mabovu tuliyokuwa tunamwimbia mkoloni mweupe aondoke atuachie...
  19. Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  20. Vijana wa CCM ya Sasa ni hasara kwa taifa na chama chao, hawawezi mijadala

    Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k. Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa. Tanzania ikiwakilishwa na vijana wa wakati huo ilikonga nyoyo za washiriki wa makongamano Kimataifa ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…