ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wagombea wa Uspika na Naibu Spika kupitishwa leo na Kamati kuu ya CCM

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo inatarajia kufanya kikao chake jijini Dodoma kwa ajili ya kupitisha jina la atakayegombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania na naibu wake. Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kifungu cha 104(h), kamati hiyo ina jukumu la kufikiria na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu huu, CCM wameshinda pambano ila wamepoteza vita

    Uchaguzi umepita, ila consequences za Uchaguzi huu zitaathiri Nchi hii na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sana ijayo kwa maoni yangu binafsi CCM imeshinda pambano (japo kwa umafia wa kila aina) lakini imepoteza vita pana, kitu ambacho kitaiathiri Chama hicho na Nchi kwa miaka mingi sana...
  3. JamiiForums Tanzania Taswira ninayoiona ndani ya CCM baada ya uchaguzi hadi kufika 2025

    Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa Urais wake labda hizo 84% tu. Zile nafasi za wabunge waliopita bila kupingwa majimbo 28 zilikua ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CCM Wilaya ya Tabora imetoa wiki wasaliti wote ndani ya chama wawe wameorodheshwa

    03 November 2020 CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi. Katibu wa CCM...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

    Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

    Huyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM?
  8. JamiiForums Tanzania Longido: Katibu Mwenezi wa CHADEMA ahamia CCM

    Taarifa kutoka Wilayani longido mkoani Arusha ni kwamba katibu mwenezi na wanachama wake wa kutosha wamehamia CCM Tarehe 30 oktoba 2020. My Take: Hongera kwao kwa kujitambua.
  9. JamiiForums Tanzania Upinzani mkumbuke kwamba ninyi ndio mnaojitoa sadaka kwa ajili ya taifa hili na si CCM. Go on please

    Wasalaam wajumbe! Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana vyeo na kurithishana. Bila ya upinzani madhubuti CCM hakiwezi kutoka madarakani leo. Bila ya...
  10. JamiiForums Tanzania CCM yatangaza fursa kwa wanachama wake wenye dhamira ya kuomba dhamana ya nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya nk

    Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya. Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

    Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi. Wananchi wakiguswa hata utumie...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufuatia kauli ya Polepole ya kuwa CHADEMA walichapisha kura bandia ili kuchafua uchaguzi, CCM tunawataka mfungue kesi kuwashtaki CHADEMA

    Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai. Kama ambavyo CCM imekuwa ikijinasibu kuwa ipo kwa ajili ya kupigania maslahi ya wananchi wanyonge ni vyema sasa ikaonesha kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  14. JamiiForums Tanzania Upinzani msiruhusu CCM waendeshe Bunge na nchi pekee yao. Nchi ni yetu sote tusikubali kamwe

    Amani iwe kwenu wajumbe! Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo. Serikali ya CCM imekua na rekodi ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wasijidanganye kuwa wameshinda hii vita, uwanja wa mapambano tu ndio umebadilika

    Wenye kuridhishwa, kufurahia na kushangilia huu 'ushindi' wafanye hivyo. Ingawa sielewe kuna faida gani ya kushangilia huu 'ushindi' katikati ya uwanja uliojaa damu. Ila kitu pekee ambacho kinatakiwa kibaki kwenye fikra, mioyo na nafsi zao ni kuwa hii vita haijaisha bado. Kamwe wasijidanganye...
  17. JamiiForums Tanzania Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu

    Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu World cup. Mataifa ya africa afcon. Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia. Kwenu CCM tunaomba timu ya ushindi muiingize kambini iboreshe mbinu nyingi zaidi. Watanzania tumechoka kua...
  18. JamiiForums Tanzania Itatokea nini kama 'SIMBA' akiwala na kuwamaliza wanyama wote porini? Madhara ya CCM vs CCM

    Ikiwa bunge lijalo ni la CCM tupu na limetokana na kuua wapinzani wote porini (Tanzania) haya ndio madhara yanayoenda kutokea ambayo wayajuao ni wachache. 1. Wananchi kukosa wawakilishi wao bungeni. Wawakilishi kwa maaana ya watetezi wao, kwasababu wote waliopita kupitia CCM hawana ubavu au...
  19. JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu mnanishangaza sana. Mwenyekiti tutamwambia haya myafanyayo

    Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage. Tulipaswa kuingia mitaani kufurahia sasa tumeufuta upinzani. Hakutakuwa na wa kutupinga au kuzuia maendeleo Tanzania nzima...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

    Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko. Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi. Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…