Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli.
Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa.
Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa.
Ukichunguza hata wagombea wa CCM huwa na mapungufu lakini hata wakikatiwa rufaa utupiliwa mbali...
Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania.
Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo.
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
barua
ccm
ded
january makamba
jpm
maendeleo
makamba
matajiri
mawaziri
mbunge
paramagamba kabudi
serikali
serikali za mitaa
ubunge
uchaguzi
uhusiano
wabunge
Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Hasani Masala ambaye hakuweza kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutimkia ACT Wazalendo mapema leo ameongea na waandishi wa habari kuwa amerudi CCM na kuomba radhi kwa mwenyekiti wa CCM na wana CCM pamoja na viongozi wa Wilaya...
Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii?
Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU.
Hebu msikilizeni alichokisema hapa.
Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema...
Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM , ni vyema ikafhamika tu kuwa mpinzani mkubwa wa CCM ni mtanzania kwa maana ya mwananchi ...
Wasalaam,
Kwa kawaida binadamu hatujakamilika kwa 100% hivyo kukumbushana na kuelekezana mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa Maisha yetu ni muhimu.
Napenda kutoa rai kwa wapiga kura kutorudia makosa ya 2015 ya kuchagua wabunge kutoka CCM kwasababu hawa hawajitambui wamepigania maslahi yao...
Mimi kama Mtanzania nashangazwa na viongozi wa CCM wa kisasa kuwa butu kiasi hiki.
Wakati wa Kinana walikuwa wazuri kujibu hoja, kuongea na wananchi na kupiga kampeni. Ukiangalia vizuri viongozi wa CCM ni kama wamezubaa ukilinganisha na Lissu, Membe, Zitto au Lipumba. Hii ni kwa sababu kwa...
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
basi
ccm
cuf
jaji
john
john magufuli
jpm
lissu
lisu
maamuzi
magufuli
maji
marekani
mtu
nchi
ofisi
rais
rais magufuli
sababu
tundu lissu
uchaguzi
uingereza
urais
video
wabunge
wote
Mabibi na mabwana kwa hakika hakuna aliye mkuu ila Allah mwenyewe. Sifa na utukufu wote na vimrejee yeye.
Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Dunia inakwenda kwa kasi kiasi si haba kuwapa ushauri hata chama kongwe aka baba lao - Chama cha Mapinduzi.
Bandugu ni wazi kuwa kwenye chaguzi hizi...
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na...
Mada inahusika.
Fanyeni survey kote nchini uone namna ya baadhi ya wana CCM walivyojengeka kiburi linapokuja suala la haki na chaguzi huru. Ndivyo walivyo mara zote na kote si Bara wala Zanzibar.
Kupitia kunufaika na Dola kwa njia mbali mbnali wanajiona wana haki zaidi ya watanzania wengine...
*UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.*
Na Elius Ndabila
0768239284.
Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote za kidemokrasia. Uchaguzi wa kidemokrasia Unaweza kuwa na mbinu nyingi za kushinda hasa sheria...
Habari za 2020 wana Bodi. Tanzania inavituko vingi mno.
Kila nikipita kwenye vyanzo vya habari nakutana na KUPITA BILA KUPINGWA kwa wagombea wa CCM tuu, Hiiimekaaje?
Hivi wapinzani bado hatujajuwa kujaza fomu? Hivi bado tunanunuliwa siku ya kurudisha fomu?
Nini hasa kilichojiri kwa wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.