ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...

    Wanabodi, Kipenga cha kuanza kwa kampeni za Uchanguzi Mkuu ujao kimepulizwa leo na fungua dimba amekuwa Chadema. Nimeangalia kidogo kupitia live ya TBC, kiukweli nilichoshuhudia, ndicho kimenipelekea mimi kuanzisha huu uzi ambao ni swali. Je, Tanzania tuna upinzani wa kweli, upinzani makini...
  2. GE2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  3. GE2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

    Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu...
  4. K

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi wa 2020 CCM na Dola imejionesha sura yake, ule wakati wa kudai Tume Huru bila kususia Uchaguzi ni sasa

    Mada inahusika. Licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa Rais JPM na serikali yake ukweli uko wazi. Hakuna dalili na ni kama mchezo umeisha kwenye hii hatua ya uteuzi na mapingamizi. Jiulizeni yale mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hayakulenga kitu kweli? Kwamba ratiba ya...
  5. GE2020 Wakati kampeni zikianza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa na mvuto zaidi ya mgombea wa CCM John Magufuli

    Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli. Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
  6. C

    GE2020 Ni kwanini hajawahi tokea mgombea CCM akose sifa?

    Malalamiko mengi kila uchaguzi kuwa wagombea wa upinzani ukosa kuteuliwa sababu mbalimbali, na upelekea upande wa CCM kupita bila kupingwa. Na kamwe sijawahi sikia mpinzani kupita bila kupingwa. Ukichunguza hata wagombea wa CCM huwa na mapungufu lakini hata wakikatiwa rufaa utupiliwa mbali...
  7. C

    GE2020 Bernard Membe nakupenda sana, nakuomba umuachie Tundu Lissu agombee tuiondoe CCM madarakani

    Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania. Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
  8. GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
  9. Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  10. Kitendo hiki cha CCM yangu kuwaamini Wanasiasa kama huyu kunakidhalilisha Chama na kisirudiwe tena

    Hatimaye aliyekuwa Mbunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Hasani Masala ambaye hakuweza kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutimkia ACT Wazalendo mapema leo ameongea na waandishi wa habari kuwa amerudi CCM na kuomba radhi kwa mwenyekiti wa CCM na wana CCM pamoja na viongozi wa Wilaya...
  11. J

    GE2020 Dkt. Bashiru aliwahi kusema CCM haitatumia tena wasanii. TOT na Vijana Jazz wanatosha. Je, amebadili gia angani? CCM wametishwa na "Ni-Yeye"?

    Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii? Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU. Hebu msikilizeni alichokisema hapa.
  12. Tofauti ni hii: Upinzani wapo bize sana mitandaoni, CCM wao ni maarufu sana mitaani

    Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa. Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015). Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema...
  13. S

    GE2020 Katika Uchaguzi wa Oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio Vyama vya Upinzani

    Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM , ni vyema ikafhamika tu kuwa mpinzani mkubwa wa CCM ni mtanzania kwa maana ya mwananchi ...
  14. GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Usirudie makosa kuchagua Wabunge kutoka CCM. Miaka 5 ni mingi mno

    Wasalaam, Kwa kawaida binadamu hatujakamilika kwa 100% hivyo kukumbushana na kuelekezana mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa Maisha yetu ni muhimu. Napenda kutoa rai kwa wapiga kura kutorudia makosa ya 2015 ya kuchagua wabunge kutoka CCM kwasababu hawa hawajitambui wamepigania maslahi yao...
  15. K

    Kuzuia mikutano kwa miaka 5 kumeleta CCM kuwa butu kwenye Siasa

    Mimi kama Mtanzania nashangazwa na viongozi wa CCM wa kisasa kuwa butu kiasi hiki. Wakati wa Kinana walikuwa wazuri kujibu hoja, kuongea na wananchi na kupiga kampeni. Ukiangalia vizuri viongozi wa CCM ni kama wamezubaa ukilinganisha na Lissu, Membe, Zitto au Lipumba. Hii ni kwa sababu kwa...
  16. GE2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

    Hii hapa , sitaongeza chumvi
  17. GE2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

    Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye...
  18. GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  19. B

    Inawezekana kuitishwa Poo ili mambo ya msingi yawekwe sawa

    Mabibi na mabwana kwa hakika hakuna aliye mkuu ila Allah mwenyewe. Sifa na utukufu wote na vimrejee yeye. Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Dunia inakwenda kwa kasi kiasi si haba kuwapa ushauri hata chama kongwe aka baba lao - Chama cha Mapinduzi. Bandugu ni wazi kuwa kwenye chaguzi hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…