ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM huwa mnaumizana ninyi Kwa ninyi, Mnatoa faida Kwa...

    Nianze Kwa kusema hivi!! Mimi si mwana CCM Ila ni mshabiki wa kutupwa Kwa JPM na Baadhi ya viongozi katika Chama Siasa zangu si za kuwa mwanachama wa Chama Fulani, Ila ni mshabiki wa mtu yeyote makini kutoka Chama chochote cha siasa, sifungwi na Chama chochote kile. Sasa basi, kuna mambo huwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli 28/10 tutakupa kura. Kama haya hayatafanyiwa kazi tutakutana tena 2025

    Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea. 1...
  3. 2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

    1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa) 2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje? 3. Moshi Mjini: Jimbo kongwe la upinzani. Mwenye jimbo lake kafa(Ndessamburo) upinzani unapitia wapi? 4. Hai: Mbowe...
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Kilwa Kusini, Bwege(ACT-Wazalendo) akiwa kwenye Mkutano wa Kassim Majaliwa akinadi wagombea wa CCM

    Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi CCM

    Wahenga wanasema chanda chema huvikwa pete,na hili limethibika kuwa Ccm ni chanda chema kwa watanzania. Niliamua kujiunga na Nccr Mageuzi nikiwa na imani kuwa ni chama ambacho kitakuwa mbadala wa kuiondoa Ccm na kukamata dola. Ila kuna jambo moja limenifanya nirudi Ccm na hili ni kupambana na...
  6. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

    Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe. Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa...
  7. Shark

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Uchaguzi ukiwa ni Huru na Haki, CCM ijiandae kukabidhi Ikulu

    Kumbe hata CCM wenyewe wanajua kua chanzo cha Ushindi wao ni Uchaguzi kutokua Huru na wa Haki. Msikilizeni Polepole akithibitisha hili kwenye hii Video
  8. F

    JamiiForums Tanzania CCM na ahadi kwa miaka 60

    Wadau leo ninapenda niliweke hili suala uwanjani kwa kuwa naamini humu kuna wana CCM, wana Chadema, nk. Kwa ujumla ccm ni zao la TANU na ASP na kwa mantiki hiyo tokea mwaka 1961 ccm iko madarakani. Ni kuanzia huo mwaka walichukua majukumu ya kusimamia maendeleo ya nchi kama vile kujenga...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Membe hakuja ACT (upinzani) kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM, bali kwa vile wamekosa matarajio yao, ndiyo maana wanakuwa kero walikohamia

    Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo! Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
  11. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haina sera wala Agenda 2020. Miaka 60 yatosha, sasa ipumzike

    Habari wajumbe wangu! Kwakweli kabisa bila kupepesa macho nasema ukweli kwamba CCM hakuna ajenda wala sera. Mambo ni yale yale miaka yote wamekua wakiyaahidi na kila ikifika uchaguzi wanayarudia tena. Chama hili sasa limekosa Uhalali wa mamlaka ya wananchi kuongoza nchi kinapaswa kuadhibiwa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wagombea urais wenye 'akili' kama huyu 'wanaifagilia' waziwazi CCM, wewe ni nani uichukie na kuikataa?

    "CCM sio mbaya ila kuna baadhi ya watendaji wanafanya mambo yanapelekea watu kuja kuichukia CCM..CCM naipenda kutokana na ile mifumo ila kuna baadhi wanayoyafanya watendaji sio mazuri, CCM ingekuwa mbaya tusingekuwa na amani".Mgombea Urais (Demokrasia Makini) Cecilia Mmanga' ITV Tanzania...
  13. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrema na wanachama wa TLP wamlaki Magufuli Himo, awaombea kura wagombea wa CCM na kumzawadia Magufuli Mbuzi

    TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo. Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kui - outsmart CCM kwenye ishu ya mawakala katika vituo vya kupigia kura

    UTANGULIZI: ¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo: FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea.. FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM. Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa...
  16. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
  17. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Mikoa yetu katika Ilani za CCM na CHADEMA

    Wakati watanzania wakiendelea kutafakari kable ya kuamua watakichagua chama gani kushika dola, miongoni mwa mambo yanayoweza kuwaongoza ni namna ambavyo vyama vya siasa vimezingatia mahitaji ya maeneo wanamoishi wapigakura, na hivyo kata, wilaya na/au mikoa yao. Mbali na kuangalia mahitaji ya...
  18. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

    Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza. Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

    CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

    1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania 2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini 3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani 4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda...
Back
Top Bottom