CCM imebadilisha wenyeviti mara 4 lakini wenzao CUF na Chadema wako wale wale Prof Lipumba na Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,924
2,000
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.

Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)

Nawatakia Sabato yenye baraka!
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,540
2,000
88

Msingekuwa mnavihujumu wangekuwa wanabadili sana tu.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,772
2,000
Bado hamjakata tamaa kwenye juhudi za kupeleka mapandikizi yenu.
Liko limoja linaendelea kulialia kwenye vyombo litafutieni meza na kiti litulie.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,336
2,000
Madaraka matamu sana, marupurupu yanawafanya wajione bila wao vyama vyitayumba.Wanasahau alikuwepo Nyerere aliwaachia wengine.

Uroho wa madaraka na uroho wa pesa mpaka watafia kwenye vyeo.
ila angekuwa mwingine wangesha mwita dikteta.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,336
2,000
Nchi kama Marekani ukishindwa kukipeleka chama chako ikulu mara 2 unapigwa chini,

Hapa kwetu kina Mbowe wamekomaa tu tena wanaambiwa wakitoka chama kitakufa.

Bila shaka hawatakufa.
Halafu wanataka wapewe nchi si ndo wakiingia tu madarakani wanabadili katiba watawale milele.
Halafu eti ni watu wanajifanya wanafuata utawala wa sheria!! Ahahaha.
 
Mhigo

Member
May 6, 2021
98
250
Nisahihi kabisa,CCM huwa nawagombea wangapi?
Na vyama vyaupinzani kuna shida gani kama wanapigiwa kura halali bila mabavu.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
6,890
2,000
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.

Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)

Nawatakia Sabato yenye baraka!

Ujinga ni kupiga, CCM Ina miaka mingapi? Na chadema na CUF mingapi?

CCM inabadilisha lini wenyeviti? Si mpaka rais abadilike, chadema imewahi kuwa na rais?

Unajuaje chadema nao wana sera hiyo hiyo Kama ya CCM? Hivi chadema Mbona wanawanyima usingizi?
 
chollemadulu

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
241
225
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.

Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Uwenyeviti wa ccm unaendana pamoja na serikali inamaana anapomaliza kuongoza serikali ndio mwisho wa umwenyekiti wake automatically hawachaguliwi kabisa labda watenganishe chama na serikali kua na kofia mbili kwahiyo ccm haichaguwi mwenyekiti anapatikana kulingana na uraisi aloupata mwisho hapo ukija chadema mwenyeki wao anapatikana kidemokrasia maana uwa wanashindana mwenye kura nyingi ndio uwa mwenyekiti nafikili utakua umenielewa kiongozi au sio
 
Achanakia

Member
Jan 28, 2021
70
125

Huna hoja kwasababu ccm haijawahi kufanya uchaguzi wa mwenyekiti.
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,612
2,000
Demokrasia huku afrika bado sana. Sio CCM, sio upinzani. Huu ni ukweli kama tunataka kupima kwa kuweka maslahi ya nchi yetu mbele. Kwa ushabiki tu, CCM hoyeee!

Na mara hii umeshasahau ccm walichomfanyia Membe? Tungepata mwenyekiti wa ccm kupitia sanduku la kura ambaye sio Rais, hapo ningeelewa.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,003
2,000
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.

Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Lazima mtu awe na Title ya kuvimbia Mjini.

Aachie uongozi halafu Rais akitaka kukutana na vyama vya siasa yeye akose fursa.
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,540
2,000
Nchi kama Marekani ukishindwa kukipeleka chama chako ikulu mara 2 unapigwa chini,

Hapa kwetu kina Mbowe wamekomaa tu tena wanaambiwa wakitoka chama kitakufa.

Bila shaka hawatakufa.
Kwani nawe muua vyama.
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,237
2,000
Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi.

Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka isiyozidi 14 (siyo Tanu)

Nawatakia Sabato yenye baraka!

Kweli kabisa. Na ndio maana mgombea wa Uenyekiti wa CCM hashindanishwi na mtu mwingine na anashinda kwa 100% bila hata kura moja kuharibika. Kweli kabisa demokrasi inaheshimiwa CCM peke yake.

Amandla....
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,643
2,000
Uwenyeviti wa ccm unaendana pamoja na serikali inamaana anapomaliza kuongoza serikali ndio mwisho wa umwenyekiti wake automatically hawachaguliwi kabisa labda watenganishe chama na serikali kua na kofia mbili kwahiyo ccm haichaguwi mwenyekiti anapatikana kulingana na uraisi aloupata mwisho hapo ukija chadema mwenyeki wao anapatikana kidemokrasia maana uwa wanashindana mwenye kura nyingi ndio uwa mwenyekiti nafikili utakua umenielewa kiongozi au sio
Kwa CDM mtu yeyote akionesha nia ya kugombea na akiwa tishio kwa mwamba lazima apigwe zengwe moja matata sana, kuna jeshi mwamba kalitengeneza kudeal na mtu yeyote tishio atayetaka uenyekiti wake. Huyo Lissu anayesifiwa kila siku akiutaka uenyekiti tu hapo ndiyo utakuwa mwisho wake ndani ya chama, akina Yericko, Boniface, Lema etc watampa kila aina ya majina.
 
chollemadulu

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
241
225
Kwa CDM mtu yeyote akionesha nia ya kugombea na akiwa tishio kwa mwamba lazima apigwe zengwe moja matata sana, kuna jeshi mwamba kalitengeneza kudeal na mtu yeyote tishio atayetaka uenyekiti wake. Huyo Lissu anayesifiwa kila siku akiutaka uenyekiti tu hapo ndiyo utakuwa mwisho wake ndani ya chama, akina Yericko, Boniface, Lema etc watampa kila aina ya majina.
Hapana sikubaliani na hoja zako kwanini usiseme ndio mpinzani wa kweli katika siasa zetu za tanzania kwanini usiseme ndie anaye isumbua dolla ya tanzania badala yake useme anavijana wakutukana wapinzani wake ndani ya chama?
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
4,643
2,000
Hapana sikubaliani na hoja zako kwanini usiseme ndio mpinzani wa kweli katika siasa zetu za tanzania kwanini usiseme ndie anaye isumbua dolla ya tanzania badala yake useme anavijana wakutukana wapinzani wake ndani ya chama?
Una uhakika gani kwamba ndiye mpinzani wa kweli? Maneno yake ya jukwaani? Dk. Slaa alivunjwa hadi mkono na hao CCM, lakini mwishoni amegundulika alikuwa kwenye payroll ya CCM kitambo sana (Mabalozi wengi/wote ni wanakitengo), Kwa nini isiwe kwa mwamba pia?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom