ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nilimtumainia sana Rais Samia, sasa naanza kukata tamaa

    Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba; 1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe! 2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua. 3. Danadana za Katiba mpya. 4. Naibu Waziri na ajali yenye utata. 5...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kujadili kauli tata za Balozi Karume

    Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu viongozi wa chama hicho kukosa uhalali wa wananchi kuongoza Zanzibar. Ali Karume aliyegombea mara...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani CCM haiwezi kuzijibu hoja za CHADEMA/LISSU/MBOWE/MARIA SARUNGI et al majibu yao haya hapa

  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinavyomilikiwa na CCM

    Kama kuna jambo linalokera sana ni pale viwanja vilivyokuwa vya umma kabla ya mfumo wa vyama vingi kuporwa na CCM ambayo imeshindwa kuviendeleza. Inaonekana kama wangekuwa na uwezo walitaka hata jengo la Ikulu liwe la CCM. Natoa hoja kuwa viwanja vyote ambavyo vilikuwa vya umma kabla ya mfumo...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Nilihamia upinzani kwa faida ya CCM

    "Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania inatamka watu wote kushitakiwa kwa mujibu wa sheria. Kwanini CCM inataka kuwapa kinga TISS?

    Ibara ya 13 (1) imetanabaisha wazi kabisa kuwa kila mtu akifanya kosa anatakiwa ashitakiwe kwa mujibu wa sheria bila ubaguzi. Leo hii CCM wanaenda kupitisha sheria ambayo itawapa kinga maofisa wa TISS wakifanya makosa . Hii ina maana gani? Pia soma: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ally Karume kwamba Dkt. Mwinyi na CCM hawajahi kushinda uchaguzi Zanzibari itajibiwa na akina Lusinde na Musukuma?

    Mtoto wa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibari amelipuka na madai kuwa Dr Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibari na CCM hawajawahi kushinda uchaguzi wowote Zanzibari tangu uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Tanzania. Ally Karume ni mtu mkubwa kwa siasa za Zanzibar na Tanazania kwa ujumla na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Shina no 7 - Kising’a, Iringa

    SHINA NO 7 - KISING’A -IRINGA Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 30 Mei 2023 amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa CCM kata ya Kising’a Jimbo la Isimani Shina No 7 kwa Balozi Rose John Pamoja na mambo mengine Ndg Chongolo ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitongoji wa CCM ni sawa na Mkutano wa Mkoa wa CHADEMA

    Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia! Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa...
  11. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

    Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa. Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu mwenezi CCM Taifa anaweza kufanya ziara za kikazi Mikoani bila kuwepo Katibu Mkuu Chogolo?

    Kuuliza sio ujinga. Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaChadema, kama maridhiano ni kuwa CCM watatupa wabunge ili wao waendelee kutawala, huu ni usaliti

    Yaaani kumbe tunawaza matumbo yetu tu? Tunawaza kuingia bungeni ili baada ya miaka mitano tuwe na mafao ya kumaliza ubunge na kusepa. Lakini sio kuwa na uchungu na taifa letu. Sio kuwa na uchungu na namna watanzania wanavyoonewa. Hata 2025 sidhani kama tutapata huo Ubunge.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Video: CCM imeishiwa vichwa vyenye akili bila shaka. Hivi watu wa dizaini hii ndiyo mnawapanga kujibu hoja za mtu kama Tundu Lissu kweli?

    Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science. Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Kisasa za CCM Kujengwa Igunga

    📍Igunga, Tabora "Matarajio yetu ni kuwa na Ofisi za kisasa za Chama (CCM) kwenye Kata za Jimbo letu na baadae kwenye Matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni ndoto kubwa , yenye dhamira njema. Tunashukuru Mwenyezi Mungu mwelekeo ni mzuri na ujenzi umeanza na inshallah tutamaliza." - Mhe...
  18. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi wa CCM tunaotarajia wajadili katiba mpya.

    CCM wanajimilikisha mpaka polisi na kuona ni utovu wa nidhamu kwa polisi kupinga kuwa CCM.
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtu anaweza kuwa mfuasi wa CCM akawa anajitambua?

    Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua. Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm Hii nchi inahitaji Miaka 100...
  20. F

    JamiiForums Tanzania CCM mtamkumbuka Magufuli!

    Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla ya kipindi cha udhalimu. Nimeona tayari hofu kubwa kati ya wana CCM kutokana na yanayoendelea...
Back
Top Bottom