Hivi Mtu anaweza kuwa mfuasi wa CCM akawa anajitambua?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,010
45,524
Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua.

Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm

Hii nchi inahitaji Miaka 100 ili kukombolewa kifikra.
 
Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka Ccm na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua .

Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm

Hii nchi inahitaji Mika 100 ili kukombolewa kifikra.
we mwenyewe mbona hujitambui wakati siyo mwana-CCM. we jikomboe na hayo matatizo yako nchi yetu haina shida ni mfano wa kuigwa Africa. we ndiyo una matatizo unahitaji ukombozi. Hakuna nchi nzuri km Tanzania tembea jionee. Mtu una stress zako pengine kuachwa na mwanaume wako unakuja kubadili gia huku kuwa nchi ina matatizo badala yako wewe.
 
Na huu ndiyo ukweli wenyewe
IMG-20191109-WA0000.jpg
tapatalk_1576643810730.jpg
IMG-20191216-WA0002.jpg
IMG-20191216-WA0000.jpg
FB_IMG_1572878565572.jpg
FB_IMG_1570960151009.jpg
tapatalk_1570946898001.jpg
FB_IMG_1593760875709.jpg
tapatalk_1592909842298.jpg
FB_IMG_1604027510826.jpg
JamiiForums1389173211.jpg
 
Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua.

Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm

Hii nchi inahitaji Miaka 100 ili kukombolewa kifikra.
Wote wamepotea
 
Ndiyo. Kwa mfano Nape, January na Suphian Juma.
 
Back
Top Bottom