benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
"Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna muda utafika Taifa lazima lingehitaji mabadiliko! Niliwaambia CCM kuwa mimi kuhamia upinzani ilikuwa ni kwa faida yao" -
Maneno ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye akihojiwa na Radio Clouds FM leo.
Maneno ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye akihojiwa na Radio Clouds FM leo.