Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Screenshot 2023-06-02 095942.png

Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba;

1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe!

2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua.

3. Danadana za Katiba mpya.

4. Naibu Waziri na ajali yenye utata.

5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS!

And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next Presidency within CCM and hence a ticket to the national level.
 
Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba

1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe

2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua

3. Danadana za katiba mpya

4. Naibu waziri na ajali yenye utata

5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS

Katiba mpyaa toka mwanzo aliwaambia Chadema na Mnyika akasema kabisa openly...mchakato utaanza after 2025.....hili liko wazi...

Ajali ya naibu waziri Rais anahusikaje?
Kama polisi imeamua kumlinda mhusika na familia ya binti imeridhia ..unataka Rais aingilie kati asemeje??

Hayo mengine Una point
 
Ulishawahi ona wapi msaidizi anashikilia nafasi ya mtaalam wakati hajajifunza mafunzo ya kitaalam.
But kwa elimu ya Samia, anaweza kufikiri kuwa hili baya hili zuri, ushauri huu hapana.
And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next presidency within CCM
 
Unaunda sheria kulinda wanaofanya jinai ili wapambane na jinai kwa waliovunja sheria
It doesn't work that way in a democratic and law-abiding society, it doesn't work that way in a civilized world!
 
Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba

1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe

2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua

3. Danadana za katiba mpya

4. Naibu waziri na ajali yenye utata

5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS

And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next presidency within CCM and hence a ticket to the national level
huyu ndiyo kiongozi mbovu kuwahi kutokea Tz tangu uhuru asee
 
1. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba hilo ni Wazi hata Mishahara ni Urefu wa Kamba

2.Ripoti ya CAG iko bungeni kwa mujibu wa sheria

3. Mchakato wa Katiba mpya imeshaanza na Chadema mmekodi Chopa

4.Naibu Waziri Dugange ni traffic case

4. Sheria ya TISS inatungwa bungeni

Rais Samia hana Lawama

Jumaa kareem!
 
It doesn't work that way in a democratic and law-abiding society, it doesn't work that way in a civilized world!
Mimi mpaka sasa nimeamini ninauwezo mdogo sana wa kufahamu watu.

Kuna jamaa yangu from the beginning alisema huyu mama atazingua, nikawa namuona jamaa ni negative sana, na sio huyo mama tu, kuna wengine aliniambia mwanzoni nikamdharau, yakaja tokea.

Hili la report ya CAG na mswada wa TISS ni la aibu sana
 
Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba

1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake...najua mnapatapata kwenye maeneo yenu..msivimbiwe

2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua

3. Danadana za katiba mpya

4. Naibu waziri na ajali yenye utata

5. Na sasa Sheria ya kuhalalisha jinai ya TISS

And I guess the whole problem stems from the fact that she vying for the next presidency within CCM and hence a ticket to the national level
Ulikuwa unasubiria kupanda meli ukiwa dodoma
 
Tusiojua tunaelewa funguo ya haya yote inatokea wapi

Kumtwanga risasi Lissu inatosha kuwa jinai ambayo sasa wanahaha namna ya kujinasua....

Eti wanatekeleza majumumu yao kwa uaminifu. Kuua raia na kuwatupa vyumba wamezwe na chatu ni utekelezaji wa majukumu kwa uaminifu? Kama uaminifu kwa nini wanaomba kinga ya jinai?
 
Kama wewe humuelewi Mama unamatatizo makubwa ya afya ya akili,
Tuache kuokoteza visa vya kuungaunga visivyo na mashiko.
Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kila kukicha anafanya mambo mazuri na makubwa sana kwa taifa letu....
#DKT SAMIA-ANAJALI-NA-KUTHAMINI-JAMII
 
Mulamba asali kutoka Makunduchi huyo
 
Kama wewe humuelewi Mama unamatatizo makubwa ya afya ya akili,
Tuache kuokoteza visa vya kuungaunga visivyo na mashiko.
Mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassani kila kukicha anafanya mambo mazuri na makubwa sana kwa taifa letu....
#DKT SAMIA-ANAJALI-NA-KUTHAMINI-JAMII
Muulize mama yako kama Nina tatizo la afya ya akili
 
Back
Top Bottom