ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tamaa za Kiuchumi na umuhimu wa Pwani ya Afrika Mashariki zinataka kumrudisha Sultani wa Oman kupitia DPW.

    Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman. Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  4. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Kichwa cha mada kinajielezea. Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity]. Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa. Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku. Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge. Rais Samia katoa mabilioni huku na kule. Watu ambao mtu...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili...
  6. JamiiForums Tanzania Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

    Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
  7. JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  9. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  10. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "Madongoism investment" in Tanzania yaani; CCM, Bunge, na Serikali ni kama DPW na DPW ni kama CCM, BUnge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

  12. JamiiForums Tanzania Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Mzee mwana CCM Kutoka Mbeya ni nani?

    Nimeikuta Mahali. Anaonekana alikuwa MTU Mkubwa Serikalini.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania CCM tukiacha mkatapa wa DP world tunapungukiwa nini? 2025 tutatumia mtutu kurudi ikulu?

    Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar . Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la...
  15. JamiiForums Tanzania Kizuri kinajiuza,kibaya kinajitembeza.Hili la Bandari CCM mnajitembeza.

    Ukweli ni kwamba, Kama kuna kitu kimewapa Hali ngumu CCM na Rais kwa ujumla basi ni hili Sakata la bandari. CCM kwenye corridor nakutana nanyi na uzuri ni kwamba baadhi yenu mnakiri kabisa kwamba kwa hili tumeingia chaka na hatujui hatima yake hasa 2025. Baadhi mnakiri kabisa tuna wakati mgumu...
  16. JamiiForums Tanzania Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana maisha marefu ya kisiasa kwa sababu hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi. Unaweza kuukataa ukweli lakini hata kama ukiukataa hakuwezi kuubadilisha kuwa uongo. Mwl. Nyerere aliwahi kusema, “Ukweli una tabia moja nzuri sana, haujali...
  18. B

    JamiiForums Tanzania TISS na CCM Party Comrades tumieni kesi ya Mbeya kuokoa Umoja wetu, na Muungano wetu, kuilinda CCM. FUTA IGA

    Asalam, Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM. 1. Vyombo na mifumo ya dola iwasaidie Majaji Mbeya KUFUTA HUU MKATABA bila kujali changamoto za dini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania CCM inabidi itumie nguvu kubwa kuhakikisha matokeo makubwa uwekezaji wa bandari

    Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri". Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…