Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
📍 Igunga, Tabora
Video/clip
Muonekano wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Igunga zinajozengwa kwa mashirikiano ya Mbunge Mhe. Nicholaus George Ngassa na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Ahadi ya Mbunge kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ni kuhakikisha Kata Kumi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo.
==
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote.
Bibi tozo amehakikishiwa mpunga mrefu wa kampeni kwa chama chake ili waendelee kukaa madarakani na kuwalinda hawa...
Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma.
Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa...
Wana Bodi,
Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa...
Sijui kwanini watu wanalewa madaraka kijinga hivi, hata kama mwanamke kakukera kiasi Gani huwezi kumtusi Tena unamtukania Hadi Mama yake Mzazi.
Halafu huyu ndio unataka awe Kiongozi wa kupigania haki, kweli? CCM mnatukosea sana.
Kutofautiana sio dhambi ila Kuna namna ya ku-handle issues...
Bandari, bandari Bandari
=====
Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi.
===
JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World
Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hapaswi kulaumiwa hata kidogo, ni Rais msafi na mcha Mungu.
Malalamiko yanayohusiana na mkataba...
Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa tishio kwenye uchaguzi dhidi ya Chama Tawala CCM. Binafsi naona wafuatao kutoka CHADEMA bado...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima (MNEC) ameandikisha zaidi ya wanachama 500 Wapya wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Bunju Mtaa wa Boko Chama 02-07-2023
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo;
ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa...
Habari JF,
Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana.
CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya maendeleo bila Misaada ,mikopo na kujipendekeza nje ya Nchi.
CCM imefanya wananchi masikini kiasi kwamba...
Katiba mbovu
Uchumi mbovu
Utendaji mbovu
Mikataba mibovu
Mipango miji mibovu
Mifumo ya haki mibovu
Uongozi na usimamizi mbovu
Haya yote ndio matunda ya CCM.
Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi.
Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania.
Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...
Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara.
Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti.
Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama.
Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
Kuna mikataba mingi tang zaman imekua na makandokando mengi na ufisadi wa kutisha!! Swali langu ni... Kwann wahusika wanaingia mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa na waisainisha? Mpaka bungeni inapitishwa kwa makofi ya kutosha mezani? Inamaana wao hua hawaoni mapungufu ya kimkataba mpaka walio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.