Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka.
Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam...
Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU.
Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo.
Angalia kwenye Kila chaguzi, ukiona hakuna mapambano kati ya vyombo vya Dola na vyama pinzani Kwa CCM jua...
Mwanzoni, sikuwa namwelewa Wakili Mwambukusi. Alisema kuwa suala hili la Bandari halitaisha kirahisi kama ilivyozoeleka. Akasisitiza kuwa suala hili litapingwa mahakamani na siasasi. Ingawa nami tangu mwanzo naupinga bila kuvunga Mkataba wa Bandari wa DP World, niliitazama kwa wepesi kauli ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu.
Pia amewataka wanaMagu...
Muvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.
Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!
Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?
Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia...
Tukiwa bado tunaendelea na mjadala wa uwekezaji wa bandari na kampuni ya DP World, lipo fundisho kubwa ambalo kama jamii tunapaswa kujifunza. Ukiachilia mbali suala la maudhui ya makubaliano haya, ambapo kuna pande mbili zenye mitazamo tofauti, kuna suala lingine ambalo kwa mtazamo wangu...
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...
Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World.
Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
Wapinzani wasichojua sisiemu hawatabanduka madarakani kwa njia za kidemokrasia bali kwa vurugu za panya roads.
Neema ya kuwang'oa sisiemu haiko kwenye masanduku ya kura bali siku ambayo panya roads watakapoamua kufanya kweli na hiyo siku haiko mbali.
Wapinzani wanalia na katiba mpya ambayo...
Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.
Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.
Dagaa wa nyasi.(wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (tsh180000/=-tsh260000/=.)...
Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
Majuzi katika ziara ya Makamu wa Rais Phillipo Mpango huko Mbeya, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya aliorodhesha miradi mingi ambayo serikali iliahidi lakini haijatekelezwa kwa miaka mingi.
Kuna miradi iliahidiwa na Rais Mwinyi na Jakaya Kikwete wakati wa kampeni za urais, lakini utekelezaji ni...
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.
Pia soma
- Chawa wa Mama wacharuka...
Habarini nyote,
Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu.
Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic.
Hadi wabunge makini...
Umofia kwenu ...
Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa
Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi
Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na...
Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
Mbunge Lupembe atoa pikipiki 12 za thamani ya Mil 30 kwa Makatibu Kata CCM.
MAKATIBU Kata kumi na mbili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefanikiwa kupatiwa pikipiki mpya kila mmoja ambazo zitawasaidia kufanya kazi za chama hicho kuelekea uchanguzi...
Kuna taarifa ukizisikia unaishia kuumia na kushangaa Sana sana. Kuna mengi nyuma ya pazia yakutisha.
Kama haya yamefanyika Kwa CCM wenyewe Kwa wenyewe, ilikuaje Kwa Upinzani?
CCM kwa sasa ina chaguzi mbili tu, kumtosa Rais Samia na wenzie waliotufikisha hapa ianze upya au kuikosa Ikulu 2025
Nchi imechafuka, wananchi wamekasirika kwa kuwa wameujua ukweli kwamba CCM na Serikali yake si rafiki, ni adui yao,na haiwezi kabisa kuwafikisha Kanani, nchi ya maziwa na asali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.