Ni vita kati ya "Serikali" ya CCM na "nchi"

CWR2016

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
2,760
6,294
Muvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.

Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!

Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?

Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia, Kikwete wala JPM vilevile hawakuzuia hizo hotuba, ni kwa nini sasa, kwa Samia?!

Serikali ya CCM imeamua liwalo na liwe, inapambana na "nchi".

Haina tena simile wala soni,
Imeshamaliza kupambana karibia na kila mtu, sasa inapambana na nchi.

Sasa CCM imeamua kukodisha vikosi vya maangamizi ili kuishinda hii vita.
CCM imekodisha kombora la 'UDINI', UCHAWA, UKUNGUNI, UOGA, VITISHO, UJINGA, RUSHWA, UNAFIKI,, n.k ili kuimaliza kabisa nchi.

Ikifikia hatua sheria na kanuni za nchi zinabadilishwa ili kumgawia mtu rasilimali na maliasili mbalimbali, ujue serikali inapigana na nchi.

Hivi hamna kazi za kufanya nyie!?
Unapata vipi muda wa kukaa na kutunga insha ndefu ndefu hv!
Au ndio kazi yako inayokupatia mkate wa siku?
 
Muvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.

Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!.
Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?!

View attachment 2713238
Nakubali ✔️!! Inapotokea baadhi ya wananchi kupinga kisheria jambo lenye ukakasi kwa maslah mapana ya Taifa then CCM hawaoni wala kusikia hapo ni vita dhidi ya wananchi wazalendo na CCM!!
 
Hivi hamna kazi za kufanya nyie!?
Unapata vipi muda wa kukaa na kutunga insha ndefu ndefu hv!
Au ndio kazi yako inayokupatia mkate wa siku?
Huwezi tudanganya kuwa upo busy kiasi cha kukosa muda binafsi, yaani hapo ni kama hujui kutumia muda wako kujua mazingira uishiyo pia
 
Muvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.

Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!.
Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?!
Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia, Kikwete wala JPM vilevile hawakuzuia hizo hotuba, ni kwa nini sasa, kwa Samia?!

Serikali ya CCM imeamua liwalo na liwe, inapambana na "nchi".

Haina tena simile wala soni,
Imeshamaliza kupambana karibia na kila mtu, sasa inapambana na nchi.

Sasa CCM imeamua kukodisha vikosi vya maangamizi ili kuishinda hii vita.
CCM imekodisha kombora la 'UDINI', UCHAWA, UKUNGUNI, UOGA, VITISHO, UJINGA, RUSHWA, UNAFIKI,, n.k ili kuimaliza kabisa nchi.

Ikifikia hatua sheria na kanuni za nchi zinabadilishwa ili kumgawia mtu rasilimali na maliasili mbalimbali, ujue serikali inapigana na nchi.

View attachment 2713238
Furaha yao ni ya kitambo tu
 
Team mwendazake mna shida sana!!

Hiyo vita ipo chumbani kwako au?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom