ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimewasikiliza 'Bodaboda' wanaounga mkono 'Uwekezaji' wa 'DP World' na kuilaumu CCM kwa Kuzalisha 'Wehu' wengi nchini

    Kuna Mmoja ndiyo alikuwa akitetea huku akimsifu Mama ( Rais ), ila alikosea zaidi ya mara Tano kutaja kwa usahihi DP World na Usoni akionekana kabisa kuwa hana Akili halafu Kapangwa Kuongea ila hakuirariri vizuri Script yake ya Kutudanganya Wenye Akili. CCM Mwenyezi Mungu anawaona!!
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Chato, kauli mlizotoa kwa Lissu zinaweza kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa nchini

    Mambo ya kijinga huwa yanaanza hivi hivi kiutani. Kilichofanyika Chato na UVCCM kwa mtu asiyeona mbali, utafikiri ndio siasa zenyewe lakini mambo yanaweza kulipuka beyond control. Siasa za vyama vingi zipo kisheria na sasa ni sehemu ya katiba yetu inayotawala. Matamshi tuliyosikia kutoka...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tujiunge kwenye vyama ambavyo vina mifumo ya utaifa kwanza, kwa wote tulioiasi au kuikataa CCM

    Ikumbukwe sisi watanzania,kabla ya mfumo wa upinzania kuanza sisi sote CHAMA chetu kilikuwa ni chama cha mapinduzi yaani ccm, baada ya vyama kufunguliwa ndipo kila mmoja wetu kwa akili zake akakimbilia pale anapoona panamstahili na panapoweza kumtimizia mawazo yake na malengo yake ya kisiasa...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Tamaa za Kiuchumi na umuhimu wa Pwani ya Afrika Mashariki zinataka kumrudisha Sultani wa Oman kupitia DPW.

    Kabla ya Mapinduzi matukufu ya mwaka 1964, Zanzibar pamoja na korido lote (km 10) la mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki vikijumuisha visiwa vya Lamu na Mafia vilitawaliwa na Ukoo wa Sultan Sayyid wa Oman. Sultan aliitawala Zanzibar na mwambao wote kuanzia Tanga hadi Lindi, korido lote toka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Kichwa cha mada kinajielezea. Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity]. Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa. Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku. Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge. Rais Samia katoa mabilioni huku na kule. Watu ambao mtu...
  11. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

    Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

    Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  15. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  16. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "Madongoism investment" in Tanzania yaani; CCM, Bunge, na Serikali ni kama DPW na DPW ni kama CCM, BUnge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  17. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Mkataba, hiki ndicho SERIKALI ya CCM inataka kuwafanyia wananchi

  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee mwana CCM Kutoka Mbeya ni nani?

    Nimeikuta Mahali. Anaonekana alikuwa MTU Mkubwa Serikalini.
Back
Top Bottom