CCM wameshapanik, zama zile za giza zinarudi tena!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,307
33,925
Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU.

Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo.

Angalia kwenye Kila chaguzi, ukiona hakuna mapambano kati ya vyombo vya Dola na vyama pinzani Kwa CCM jua hapo CCM inashinda.

Jinsi Hali ilivyo Kwa Sasa, CCM ishaanza kuona mbele ya safari itashindwa.

Zile zama za GIZA zinarejea kwa kasi sana. Wale watekaji, wauaji na watishaji Wa jamii, WATARUDIA KAZI ZAO.
 
Niliwahi kusema kwamba maccm wanaweza tegemea vyombo vya dola kupita lakini ukweli ni kwamba watu wakiwaamulia wataofwatwa ni wao personally ,mali zao na ndugu zao hapo sasa hakuna polisi au uvccm wa kumlinda kila mtu.Waache kucheza na maslahi ya watu kwa kutegemea vyombo vya dola labda wangekuwa wanaishi kwenye makambi ya vyombo vya dola
 
Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU.

Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo...
Mbele hawaoni. Hawako kimya eti kwa utulivu hapana. bali hawana majibu na hali inazidi kuwa tete mbele kiza kinene
 
Kuna wakati niliwahi kusema kuwa hakuna CCM "ya kistaarabu" tangu zama za ASP na TANU.

Ukiona CCM inaonekana ni ya kistaarabu jua kwamba hapo hofu ya kutolewa madarakani inakuwa haipo.

Angalia kwenye Kila uchaguzi, ukiona hakuna mapambano kati ya vyombo vya Dola na vyama pinzani Kwa CCM jua hapo CCM inashinda.

Jinsi Hali ilivyo Kwa Sasa, CCM ishaanza kuona mbele ya safari itashindwa.

Zile zama za GIZA zinarejea kwa kasi sana. Wale watekaji, wauaji na watishaji Wa jamii, WATARUDIA KAZI ZAO.
Wambura kachemka hadi huruma
 
Tutahamia burundi sasa😅😅
 
Chadema inatisha vibaya!
 
Back
Top Bottom