ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  2. JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa nyumba kumi au serikali za mitaa ndio wajumbe wa Chama ( CCM)?

    Nilikuwa nauliza ndugu zangu naomba kupata ufafanuzi wa hili jambo binafsi linanichanganya hawa wajumbe wa Serikal za mitaa au balozi wa nyumba kumi ndio hao hao wajumbe wa chama (CCM)?
  4. JamiiForums Tanzania Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

    Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM. Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana. Je wataalamu na wanazuoni hawataki kukiambia ukweli hiki chama. Au wenye chama hawataki kusikiliza ushauri wa wataalamu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi basi CCM itashinda kirahisi na Wasiposhiriki basi CCM itashinda kiubwete kabisa!

    Muundo wa sasa wa Tume ya Uchaguzi ni sawa na Mtego wa Panya hunaswa wahusika na wasiohusika Angalizo: Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi ni Wazi CCM itashinda kirahisi lakini Wao Chadema watapata Wabunge na Madiwani Wawili Watatu Ikiwa Chadema hawatashiriki itakuwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Hai

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe tarehe 05 Septemba, 2023 katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Hai Aliwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa (CCM) Bara Ndugu Abdulrahman Kinana Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Hai ulilenga sana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Video: Bora corona kuliko CCM

  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari ndiyo utakuwa msumari wa mwisho CCM

    Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025. CCM inatakiwa ijitathmini na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu 2025 zaidi ya wabunge 20 wa CCM wakapita bila kupingwa. Niko pale nakula popcorn

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM imeshindwa kuongoza nchi?

    Kuna mtu anaitwa Thadei Ole Mushi, ni mwana CCM kweli kweli; aliwahi kuandika manen haya; Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

    Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee CLEOPA DAVID MSUYA akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 amesema CHADEMA ni wazuri na mahiri wa kuchambua mambo kwa kina na lazima tujifunze kwao. - Hawa CHADEMA ni wachambuzi wa mambo kwa kina na ni lazima tujifunze kwao, kwamba wao kwanini wanajifunza hivi na...
  12. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

    Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima. Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka...
  13. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

    Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wa Chama changu (CCM), maadui wako siyo wapinzani Bali Machawa wa Mtandaoni na washauri wako baadhi

    Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini, Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja Mama nakusihi epuka mambo haya 1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe amjibu Tundu Lissu kuhusu Wabunge kufanya biashara ya pamba, amwambia 'Mbona Mwenyekiti wake alikuwa Mfanyabiashara na Mbunge'

    Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba. Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana upinzani unakuwa kwasababu ya kukuwa kwa demokrasia na sio kudhoofika kwa CCM

    Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa. Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili...
  17. JamiiForums Tanzania Hili Kundi la 'Vijana na Samia' limebarikiwa na CCM na Serikali, manake si kwa Kujikomba huko

    Na Msemaji wake ni Mtangazaji wa Michezo EFM Radio ambaye hajawahi Kuelewana na Wenzake katika Media anayofanya na Mwenezi wa CCM katika Shina huko Temeke aitwae Twalib Othman Muwa. UVCCM ina maana pamoja na Kujipendekeza na Kujikomba Kwenu kwa Watawala ( Marais ) wa nchi hii Safari hii...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta viashiria muhimu vya CCM kuanguka uchaguzi unaokuja na upinzani kushinda sivioni

    Kama mada inavyojieleza hapo juu na kama waswahili wasemavyo wa kushiba huonekana mezani, awamu hii tofauti sana na hali ilivyokuwa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015, sijaona viashiria vingi muhimu vinavyotoa matumaini ya ccm kuanguka katika uchaguzi unaokuja. Mwaka 2015 kulikuwa na vuguvugu...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA inaimarika huku CCM ikiporomoka kwa kasi 2024/2025 hapatatosha

    umofia kwenu Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe. Mbeleko na kupoteza mwelekeo kwa makada na viongozi wa CCM kumepelekea jahazi kuzama kungali mapema Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…