ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  2. T

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

    Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake. Wafuatao wanahangaika kwelikweli 1. Abdalllah Bulembo Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi waziri kufanya shughuli za Kiserikali akiwa amevaa gwanda za CCM?

    Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro. Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari hayo baada ya hafla ya uwasilishaji wa tarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025...
  4. F

    JamiiForums Tanzania CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani

    Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM kinaanzisha miradi mingi mitaani mwaka mmoja kabla ya uchaguzi? Je, hii sio mass bribe?

    Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk. Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama CCM haitang'oka Watanzania tutakufa vibudu

    CCM wanaila nchi hii kama mchwa waliokula bakora ya Nabii Solomon. Tukubali jina La CCM "Chukua chako Mapema" linaendelea kutumaliza kama ni kidonda basi CCM ni donda ndugu. Ila Rais Samia usilazie damu ukizipata alimasi ziletee huku Zenji, unaona Mwinyi anavyotusifia wapemba "yajayo...
  8. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Mteule CCM ndie ataratibu mchakato wa kupata wagombea 2025 - busara itumike kumpata

    1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima. 2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi. NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM jiepusheni na u Barakala, mnatumika na kuachwa

    Wapi tumepotea ? Wapi tulipoangukia? Je! Yawezekana viongozi wanakaa muda mrefu sana madarakani kwasababu hatuna utaratibu mzuri wa kujiongoza kwenye mambo yetu? https://www.facebook.com/534107560/posts/pfbid021RJ4RMrx9V1WEkn9gQXukxhz8MTN39en5BMhXzTTActCWtHrVH2ykDvVi5fM28Q3l/?app=fbl
  11. JamiiForums Tanzania CCM mmetuaibisha Katesh kwa kutumia vifo na madhara yetu kama mtaji wa siasa

    Mimi na wenzangu raia wa Mkoa wa Manyara hakika mmetuaibisha sana sisi wakazi wa Kateshi kwa kutumia shida na machungu yetu kama mtaji wenu CCM katika harakati zenu za siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024 na ule mkuu 2025. Nini hasa kimepelekea nyie mjivishe jukumu la nani aje atupe pole na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    Astrid.
  14. JamiiForums Tanzania Madalali chanzo cha maisha magumu na sio CCM

    Dalali ni nani? Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mbili...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Naipenda CCM kwa mema yote waliyofanya nchini toka Uhuru

    Naipenda CCM Sana Kwa mema yote waliyofanya nchini toka Uhuru.
  16. JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Wilaya ya Bariadi

    KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU IMEENDELEA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYA YA BARIADI, HALMASHAURI YA BARIADI TC Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 04/12/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua...
  17. R

    JamiiForums Tanzania CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

    Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo. Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM. Leo Mzee...
  18. JamiiForums Tanzania Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema Digital yatikisa Mbarali, CCM yaanza kupagawa

    Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko Mbarali . Kipo chama kinaanza kuweweseka kwamba Chadema Digital isifanyike wakati wa kazi au Week end ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…