Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la Rotiana Social Investment Ltd Ole Sendeka akiwa nyuma yao.
Bila aibu na hali akijua mashamba hayo yanamilikiwa kihalali na yanaendeshwa na Kampuni ya Rotiana Ole Sendeka amesema uongo kuwa mashamba hayo hayana mmiliki na kuwambia wananchi wayachukue kwa nguvu.
Ikumbukwe kuwa Ole Sendeka 2018 hadi 2022 aliendesha uovu kama huo kwa shamba la Marehemu Yese ambae alikua rafiki yake lililopo Ngage Wilayani Humo Simanjiro hadi alipoumbuliwa na Naibu Waizir wa Waklatyi huo Ridhiwan Kikwete na pia kuzodolewa na binti mkubwa wa Yese. tazama hapa NAIBU WAZIRI KIKWETE AKEMEA UDANGANYIFU KATIKA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
pia tazama hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=JaaziTjBlSc.
CCM Ole Sendeka ni laana na atasababisha hasara kwa serikali kwani wananchi wanaodhulumiwa wataenda mahakamani na kushindwa kama ilivyotokea kwenye kesi namba 227 (2012) . achukuliwe hatua haraka kwani ni kirusi kibaya. Inashangaza pia viongozi wa wilaya wanamfungia macho akliendeleza ujinga wa uvunjaji wa sheria.
Ole Sendeka AMECHOKA APUMZISHWE.
Soma pia > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana