Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Hii ni kinyume na Political Party Act No. 1 of 2019… ni vile tu tunashangilia kuvunja sheria. s.6C(1)(b)..
Haupaswi kushangilia kwa namna yoyote kuona sheria za nchi zikivunjwa..Kifungu kipya cha 6C kimeweka masharti ya mtu kuwa mwanachama wa chama cha siasa, na mojawapo ni umri usio chini ya...
Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania.
Katika vinyanganyiro...
Haraka kwenye mada, mambo ni mengi,
Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo,
Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno,
Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini.
Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake...
Benki ya DCB iliingia soko la hisa la Dar es salam na share zake zilianza kupanda lakini kwa Tangazo hili la Benki ni ukweli ulio wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hisa zake, wanahisa watakuwa na hofu na fedha zao na walizowekeza.
Wadau wanasema hii benki ni ngumu kuendelea kubaki...
Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI
UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
Mkiambiwa muwe mnaelewa!
Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣
Hasa wewe johnthebaptist
Wengine hawa hapa
Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.
Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama Taifa tulipaswa kuwa.
Sasa mtihani wa umma unaliza.
• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka...
Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.
Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi...
Habari wakuu
Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.
Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa
Katibu Mkuu wa...
Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.
Wafuatao wanahangaika kwelikweli
1. Abdalllah Bulembo
Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa...
Waziri wa Nchi, @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi magari ya usimamizi shirikishi wa shughuli za Afya kwenye Halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Mhe. Mchengerwa amekabidhi magari hayo baada ya hafla ya uwasilishaji wa tarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025...
Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...