Hayati Magufuli: Waacheni watoto wasome, msiwatumie kwenye siasa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, aliwahi kupendekeza kufutwa utaratibu wa kutumia Watoto katika Siasa kwa kuwaita Chipukizi ambapo alihoji Watoto hao watakuwa na muda gani wa Kusoma endapo watakuwa katika masuala ya Kisiasa.

Sisi kitambo hicho 88s tulikuwa ni chipukizi wa chama cha mapinduzi, kulikuwapo na mabasi ya bhesco yaliyokuwa yakitupeleka kwenye dhifa mbalimbali za Kitaifa, chipukizi ndio chemuchemu ya chama, nenda China ukajionee!
 
Huyu alikuwa muoga sana. Alikuwa anaogopa chadema ikunda kundi lake la watoto angekosa pa kutokea

Sijawahi kumpa credit ktk jambo lolote huyu dikteta.
1000006218.jpg
 
Huyu alikuwa muoga sana. Alikuwa anaogopa chadema ikunda kundi lake la watoto angekosa pa kutokea

Sijawahi kumpa credit ktk jambo lolote huyu dikteta.
Hahahahaha, sasa ni wakati wa chadema na vyama vingine kuwa na chipukizi wao
 
Sisi kitambo hicho 88s tulikuwa ni chipukizi wa chama cha mapinduzi, kulikuwapo na mabasi ya bhesco yaliyokuwa yakitupeleka kwenye dhifa mbalimbali za Kitaifa, chipukizi ndio chemuchemu ya chama, nenda China ukajionee!
Hiyo chipukiz yenu imesaidia nini kwenye hii nchi shida kila mahali.unafananisha na china ambayo imetuzidi kila kitu.Mambo ya maana ya china hamuugi mnaiga ambavyo hamuwezi kuvisimamia kwa ufanisi.
 
Back
Top Bottom