ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Kuruhusu maandamano ya amani ya Chadema, je Rais Samia ameshawachoka wahafidhina wa CCM wasiotaka mabadiliko nchini?

    Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani! Ingawa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) na 18(2)...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  3. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mwigulu ashangaa Tanzania kuishi kwa kutegemea Misaada!

    "Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya." Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

    Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote. Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninaipenda CCM yangu, ilimradi ulete kura tu, tunakukubali

    Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa, uwe mtumishi wa umma, uwe mtumishi wa Mungu, uwe mwizi, uwe jambazi, uwe mpagani, mchambaji, uwe...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hai: Mjane wa Lyatonga Mrema aenda CCM, adai amerejea nyumbani

    Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.
  9. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini unashabikia chama hicho cha siasa?

    Wakuu, Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari kufanya chochote kwaajili ya chama chake hata kama kinaathiri watu wengine vibaya. Ni kama wameziba...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Nadhani hii inaweza kuwa ndiyo kauli ngumu sana ya Rais Samia kwa mwaka 2024

    "Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza." " Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi. Safari hii haijaanza...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

    Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano. Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Momba anyeshewa na mvua akimtaka mhandisi kumaliza ujenzi wa shule mpya ya Naming'ongo

    Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya momba, Mathew Chikoti, akinyeshewa na mvua wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Naming'ongo, na kuagiza mhandisi kuhakikisha ujenzi wa shule hiyo unakamilika haraka. Ziara hiyo ilikuwa chini ya kamati ya fedha, uongozi, na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA

    Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…