Kununua bonds Canada au United States

SHIGOTTO

Senior Member
Sep 4, 2018
156
280
Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States?

Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
 
Inawezekana. Kufikia January 2023 nchi za kigeni zilikuwa zinamiliki dola za kimarekani trilioni 7.4 kwenye hatifungani.

Kwa taarifa zaidi unaweza kupitia tovuti yao: Home — TreasuryDirect
 
Ila Market ya marekani sometimes haileweki, ila sina uhakika kwa upande wa ununuzi wa bonds. Ila ku-invest kwenye money markets na shares kipindi hiki ni risk. Tangu wakati wa COVID na sasa hizi vita za Ukraine and sasa Israel ni big Risk sana ku-invest Marekani
 
Back
Top Bottom