caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu. NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023 Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni 1. AL...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  5. carnage21

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama simba wamefanya sahihi kwenye hili!!

    Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe. Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, Ikulu ya Dodoma, leo Oktoba 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro ateta na Uongozi wa wa FIFA na CAF

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATETA NA UONGOZI WA FIFA NA CAF Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA ) katika Ukanda wa CECAFA, Andrea Silva na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
  9. KIXI

    JamiiForums Tanzania CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

    Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

    Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Baada ya makundi kupangwa CAF, washabiki wa Simba na Yanga wanaombeana mabaya. Hii ni aibu!

    Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu kubwa mbili za mpira wa miguu nchini, Simba na Yanga. Katika hali ya mpira wa ushindani kuelekea...
  14. Scars

    JamiiForums Tanzania CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Draw ya makundi Caf Champions league: Simba ndani ya chungu namba 2, Yanga ndani ya chungu namba 3

    CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao. Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns. Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda. Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga. Pot no. 4: Etuile...
  16. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Ihefu hizo sio pigo mlizo leta yaani kikosi cha fainali ya CAF mnakifanyia hivyo

    Ngoja niwasimulie kidogo hii story ya kusikitisha na kughafirisha. Mwaka Jana kipindi yanga ni unbeaten sikuwahi kuwabetia Ila ilivyofika siku wanacheza na ihefu nikajisemea hii yanga unbeaten ndy yakupatia hela Hapa bure bure dadeek nikawapa yanga nikastake elf 50 alafu nikachil bar Sina hata...
  17. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀: • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • CR Belouizdad 🇩🇿 • Al Hilal 🇸🇩 • Medeama 🇬🇭 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁: • Wydad AC 🇲🇦 • Simba SC 🇹🇿 • ASEC Mimosas 🇨🇮 • Jwaneng Galaxy 🇧🇼 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂: • Al Ahly 🇪🇬 • Petro de Luanda 🇦🇴 • Yanga SC 🇹🇿 • FC Nouadhibou 🇲🇷 𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃: • ES Tunis 🇹🇳 • Pyramids...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga isipocheza fainali za CAF champions niiteni zumbulugutu

    Nimeangalia mechi za Yanga na mechi za timu nyingine Afrika na Europe, Yanga hii inacheza vizuri kuliko Manchester United, Chelsea na Al-Ahly.
  19. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

    Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
  20. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

    Pot 1: Al Ahly Wydad AC Espérance de Tunis Mamelodi Sundowns Pot 2: CR Belouizdad Pyramids Simba Petro de Luanda Pot 3: TP Mazembe Al Hilal Young Africans ASEC Mimosas Pot 4: Étoile du Sahel Jwaneng Galaxy Nouadhibou Medeama NB: 1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
Back
Top Bottom