Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,816
- 4,566
Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii?
Goli la Serge Pokou wa ASECMimosas ya IvoryCoast limesababisha mashabiki wa Simba watoke Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam wakiwa wanyonge baada ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi B kumalizika kwa sare ya 1-1 licha ya Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ kutangulia kufunga
Mchezo ujao ni Desemba 2, 2023, Simba itakuwa ugenini Nchini Botswana kucheza dhidi ya JwanengGalaxy wakati ASEC itaikaribisha Wydad ya Morocco