FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,171
25,485
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC.
Yan.JPG

Kikosi cha Yanga
Usiku.JPG

Usi.JPG

YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI

Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa kutamba baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya CRBelouizdad katika mchezo wa Kundi D kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Magoli yamewekwa wavuni na Abdelraouf Benguit (10), Abderrahmane Meziane (45) na Lamin Jallow (90)

Mchezo ujao, Yanga itaikaribisha AlAhly ya Misri kwenye Uwanja wa Mkapa, Desemba 2, 2023
 
Live video Highlights mtazipata hapa comment nambari 3

4' Yanga inashambulia



GOAL!! CR Belouizdad 1 - 0 Yanga SC


Chenga safi kutoka kwa Mudathir


GOAL!! CR Belouizdad 2 - 0 Yanga SC


Lomalisa kajaribu ila mpira umetoka nje ya target


GOAL!! CR Belouizdad 3 - 0 Yanga SC
 
Ni leo tu mchana nilikumbuka nikasema ikifika saa 6 usiku Charles kilian ataanzisha thread ya mechi ya Yanga Vs Belouizdad. Lol

Ila, tafadhali jitahidi kuweka nyama kidogo. Kama historia ya hivyo vilabu kukutana, kila timu iko kwenye msimamo gani kwenye ligi iliyomo, na wachezaji wa kutazamwa kwa umakini.
Asante
 
Ni leo tu mchana nilikumbuka nikasema ikifika saa 6 usiku Charles kilian ataanzisha thread ya mechi ya Yanga Vs Belouzdad. Lol

Ila, tafadhali jitahidi kuweka nyama kidogo. Kama historia ya hivyo vilabu kukutana, kila timu iko kwenye msimamo gani kwenye ligi iliyomo, na wachezaji wa kutazamwa kwa umakini.
Asante
CR Belouizdad ni wa 3 kwenye ligi yao Yanga sc ni 1 kwenye ligi yao hizi hapa chini mechi zao 5 za wote 2 yaani kwenye ligi zao
👇👇👇👇👇👇👇👇
Screenshot_20231124-010133.jpg
 
Back
Top Bottom