UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
1,932
4,086
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.
 
Wewe Binti lala na mmeo ucku huu unajifanya mchambuzi?
 
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.
Mkono mmoja huwa unapigia punyeto......achana na Yanga.....
 
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.

Ingependeza haya manyanga yako ungeyaandika kabla hata mechi moja ya makundi haijachezwa...
 
Nilijinga hili jamaa haya ndio huwa yamekaa kujidai linajua sana. Mengine yalitabiri yanga ataishia wamwisho kwenye kundi, bado yanaendelea kutabiri upumbavu wakati timu inazidi kusonga mbele
 
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.
dua la kuku
 
Hivi i ni mimi tu naona hili au? Kwa nini mashabiki wa Simba wanaanzisha thread nyingi sana kuhusu Yanga kuliko timu yao. Kabla na baada ya mechi za Yanga kuna maneno mengi sana. Wanaogopa nini? Nadhani wanakumbuka nwaka jana. Mioyoni mwao wanajua Yanga ikifika robo fainali uwezekano wa kufika nusu hata fainali ni mkubwa hivyo zile tambo zao za kufika robo zitakuwa hazina maana. Mioyoni mwao wanajua Yanga kwa sasa wanaweza kumfunga yeyote yule. Mioyoni mwao wanajua timu yao ni tia maji tia maji. Hata wakifika robo itakuwa ndio mwidho wao. Hivyo kujifariji inabidi wawadharau Yanga. Lakini bahati mbaya kwao machi siyo mbali sana.
 
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.
Mchwa-mbuzi.
 
Back
Top Bottom