Hizi ndizo fedha zitazolipwa kwa kila timu kulingana na hatua walizofika mashindano ya CAF

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa.

US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs

BINGWA:
US$ 4 million
Shilingi bilioni 10 na milioni 180

MSHINDI WA PILI:
US$ 2 million
Shilingi bilioni 5 na milioni 90

KILA TIMU ITAYOISHIA NUSU FAINALI:
US$ 1.2 million
Shilingi bilioni 3 na milioni 54

KILA TIMU ITAYOISHIA ROBO FAINALI:
US$ 900,000
Shilingi bilioni 2 na milioni 290

KILA TIMU ITAYOISHIA HATUA YA MAKUNDI:
US$ 700,000
Shilingi bilioni 1 na milioni 781
 
Back
Top Bottom