Anachokifanya Yanga, anafanya mashindano ya CAF yaonekane ni marahisi, tungemuomba asifanye hivi tena

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,455
3,431
Hivi hamjamuona mtangulizi wenu Simba mara nyingi kupita kwake hadi game za mwisho ndo majibu hupatikana

Iweje wewe uliebezwa mwaka jana upo katika mashindano rahisi uje uwabamize hao wakubwa kwa vichapo vya aibu na udhalilishaji (Hadi kusababisha mtafaruku kati ya kocha na wachezaji) na kujihakikishia hatua ya mtoano ukiwa na mchezo mmoja mkononi

Haya ingependeza yaishie hapahapa ukiendelea na haya mambo huko hatua za mbele kwakweli utashusha hadhi ya haya mashindano sasa
Funga kwa wastani usonge mbele achana na sifa za kijinga kwani sifa zako unaacha watu wakiwa katika maumivu makalii
 
Hadi raha.
 
Back
Top Bottom