Hiyo pombe alipewa na wachina au alienda nayo??
Baada ya kupiga mabomu yote Iran na jamaa wakawa bado wanarusha tu makombora, Trump alitaka wapige nyuklia,majenerali wakamwambia aache ucengeAkiwa hanywi tu yupo hivyo akianza kunywa walahi nuclear zitanyanyuliwa!
Ati aache unini..?😅Baada ya kupiga mabomu yote Iran na jamaa wakawa bado wanarusha tu makombora, Trump alitaka wapige nyuklia,majenerali wakamwambia aache ucenge
Ucenge.. maana dingi ana hamu ya ushindi na hashindiAti aache unini..?😅