bwana

This is a list of English language words that come from the Niger-Congo languages.
It excludes placenames except where they have become common words.

View More On Wikipedia.org
  1. feyzal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi bwana ,Man down

    Usimkabidhi mwanamke Moyo wako over
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hivi maana halisi ya 'Madhabahu' ni nini? Kwanini Bwana huwapa baraka ya kudumu wanaomjengea 'Madhabahu'?

    Nimejeuka kusoma soma Biblia kwa hii miezi michache, kuna jambo kama limeitekenya akili yangu. Kwanza, kwenye agano la kale, waliopewa uongozi wote waliishia kumjengea Bwana Madhabahu. Nuhu, Abrahamu, Daudi etc etc Na kwenye agano la kale, 'Madhabahu' imetajwa sana. Katika kusoma kwangu, kwenye...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtu anafika madhabahuni anatoka bila kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake. Hili ndilo tatizo nililoliona madhabahuni kwa Mwamposa jana

    Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini. Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kutoka kwa Bwana karibu

    Hodii humu ndani ! Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana. Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri Hela ya matumizi ya kawaida ipo uwezo was kupanga nyumba nzima upo kusomesha watoto na kumtunza mama yao...
  5. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu Bwana Mdogo Shababy alitaka amwoe Aisha mke wa Muhamad pindi akifariki

    Tafsiri ya Kiswahili ya Qur'an 33:53: (Surah Al-Ahzab, 33:53)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bwana yule alikuwa smart sana!

    Kwema 'Directors'? Kitendo cha Bwana yule kumzidi kete bosi wake wa wakati huo na kufanikiwa kupenya na kupeperusha bendera, kinaonesha Bwana yule alivyokuwa mjanja(smart)! Ama kwa hakika, alikuwa jogoo la shamba lililowika mjini. Alikuwa mkulima aliyevimba mbele ya watoto wa mjini na...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

    Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nilisikia sehemu kwamba "TUNATAKA KUVUNA KURA NA SIO MABUA HIVYO HATUTACHEKA NA NYANI" Nikajua utani bwana kumbe njemba zilikua serious.

    Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT "Unaijua katiba ya Tanzania" Robot la sam likasema "Ndio" Wakauliza tena "Tudeal nae vipi" ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja kipengelea A, B, C, piga ban kanisa lake tu" Wakauliza kwa nn kanisa lake? Chat akasema "Si audience...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana alisema yeye mcha mungu, hawezi kuwa sehemu ya maovu yanayofanywa kwa kisingizio cha amani na usalama na kuamua kujiuzulu nafasi yake

    Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

    Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios. Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone. Hii nchi bwana Mjadala unaweza kuamilishwa na maelezo haya. Kwa ujumla, simu za kisasa (smartphones) ni rahisi zaidi kudukuliwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshukuru bwana – sasa tuna radio yetu ya mtandaoni

    Kwa muda mrefu moyoni mwangu nimekuwa na tamanio moja kubwa – kuitumikia jamii kwa njia ya Injili kupitia vyombo vya habari. Leo hii naandika nikiwa na furaha kuu moyoni, nikimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutimiza ndoto hii: JESUS NEWS Online Radio imezaliwa na ipo hewani sasa! Hii ni redio...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is it fair kumhukumu mdada kwa kutaka kuwa na bwana mwenye pesa zaidi?

  15. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Bwana hivi unafahamu maanda ya kuunda kweli .Ndio maana CCM wanatuona sisi hatuna Akili

    Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu. Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini zaidi ya kununua na kuboresha. kwani ukisema kabuni mfumo kwenye robot ni kosa.
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Zile email za kwenda kwa Raisi wa Finiland Bwana Alexander Stubb ziendelee kutumwa, Asitishe Ziara yake Tanzania.

    Raisi wa Finland Mwezi huu atavisit nchi kafhaa za Africa ikiwemo Tanzania, sasa tunataka afikiria mara mbili mbili kujusu kuvisi Tanzania make nchi isha haribika imekuwa nchi ya kuuana na kuumizana. Hivyo wadau tuendelee kutuma email kwa offisi ya Raisi wa Finland na kumuandikia yeye mwenyewe...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Siasa bwana, Si hasa

    Siasa bwana ni kama mchezo wa rede! Leo wako wanaolia: "No reform, no election!" Wengine wanawabwatukia: "Acheni kelele, hamna lolote!" Lakini subiri tu, serikali ikisema: "Tumeamua kuanzisha mazungumzo," hao waliokuwa wanacheka, wanabadilika. Uttwasikia, siri kali sikivu, kiongozi, mpenda...
  20. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kwa misururu hii ya Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa hata kama Bwana Tundu Lissu atakuwa mwenyekiti wa INEC bado Rais Samia ataibuka mshindi

    Sikilizeni Wapinzani, Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia, Fanyeni hivi, Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
Back
Top Bottom