Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,895
- 28,670
Baada ya kumsema mtu kwa mabaya akianza kung'ara wanaanza kukaa kimya
Nimefatilia sana ile issue ya juma jux..
Ila nikajifunza kitu kimoja kikubwa sana, na hata mondi(japo simjubali) aliweza kujua kukitumia..
Ni kutumia maneno ya watu kama Kiki ya wewe kufanya makubwa...
Jux katoa bonge la hit leo, (kaonesha rap skills akablend na rnb) na ukiangalia chupa lime nyooka kweli international..
Ndo maana mimi hupenda kusema inabidi ujitoe ufahamu... Yaani uwe delusional ili uweze kushinda mbele ya wafilist wabongo...
Kama kasongo tuu unawafukuza chui bila hiyana maana unakuwa unajua hawana makucha tena..
"It is in your winning 🥇 season that you get hated the most"