Kwanini wanawake wanatuita "Bwana" au "Mabwana"

MoroGent

Senior Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
149
Reaction score
472
Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa😀
Naeza kuelezea Bwana as a Master, means ni mtu unaemheshimu au kumtumikia. So Mwanamke akimwita Mwanaume ni Bwana ake, means anafaa amtumikie, kunyenyekea na kumfanyia anachotaka.
Lakini ni tofauti sana na behavior za wanawake. Anakuita Bwana ake lakin vurugu mechi kibao.
Nawakaribisha tujadili ME kwa KE, why tunaitwa Bwana au Mabwana, do it reflects what it means? Why do they call us in that way?
Nawasilisha😀
 
Kwa hiyo lengo kuu la hii mada yako unataka watu wajadili kwa nini wanaume wanaitwa "Bwana/Mabwana"!!!
Huwezi kutafuta mada nyingine ya kujadili yenye mashiko kidogo?
 
Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa.
Naeza kuelezea Bwana as a Master, means ni mtu unaemheshimu au kumtumikia. So Mwanamke akimwita Mwanaume ni Bwana ake, means anafaa amtumikie, kunyenyekea na kumfanyia anachotaka.
Lakini ni tofauti sana na behavior za wanawake. Anakuita Bwana ake lakin vurugu mechi kibao.
Nawakaribisha tujadili ME kwa KE, why tunaitwa Bwana au Mabwana, do it reflects what it means? Why do they call us in that way?
Nawasilisha
Maskini ya mungu me huwa natumia pande zote. Utasikia "aaaah! Unazingua bwana". Hata kwa manzi yangu sijui itakuwaje.
 
Ni lugha ya kitumwa,
Chanzo chake ni dini, feudalism na ufalme kwa sababu wanaume walikuwa ni "Lords" kweli kwa maana ya umiliki mali(wanawake wakiwa sehemu ya mali pia) na vyeo.
 
Ni bwana sio Bwana.. Au tuite kwa kihaya My lord.
Kuita mtu my lord ni ka level Cha kuwa submitted kwenye Authority ya Mungu ambayo iko rested onto you Man.
Then what happened,
now days there's no real leadership to submit to, na wengi wenu hamjui how to live with a virtues woman. That's why we shift to your seat to take ur responsibility.
bwanaee sijui kama nitaeleweka🥺
 
Back
Top Bottom