bwana

This is a list of English language words that come from the Niger-Congo languages.
It excludes placenames except where they have become common words.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mkurugenzi wa Mbinga DC ananyanyasa Walimu

    Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC. Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila kuzingatia utaratibu rasmi wa kiutumishi! Mfano mzuri ni Ijumaa ya Tarehe 27/02/2026 aliwaita walimu...
  2. S

    Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  3. Zee la madawa

    Wanawake wa Kahama bwana

    Mademu wa kahama weng wao njaa nyingi,'weng wametoka pande mbali mbali ili wasake maisha hapa..Na Mala nyingi wanawke waliopo..kahama ni Malay wasitaafu. Dem...kauza mbususu mikoa ya Mwanza ,Dodoma ,Daresalama,Geita,Pwani ,Ameitembeza mbususu mpaka mbeya...huyo anachapa Raba tunduma...
  4. Zee la madawa

    Shemeji zangu wasukuma acheni hizo bwana yaani mimi mgeni siku ya kwanza tu ndiyo mniandalie ugali wa Dona mgumu na nsasa? Hapana kwakweli

    Yaani mimi nimekuja kusalimia ukweni baada ya nyie shemeji zangu kunichinjia Mbuzi au Ng'ombe ndiyo kwanza mnanikaribisha na ugali wa dona na Nsasa hii ni kweli jamani mbona yule shemeji yenu mwingine akija hapo kwenu mnamchnjia Mbuzi wawili na inakuwa na sherehe kabisa au kwasababu ni msukuma...
  5. MakinikiA

    Hili jambo la huyu bwana Epstein linafanana na la P Diddy

    Faili za Epstein zinaibua kumbukumbu ya 'nyakati za uchungu mwingi katika ndoa yangu' - Melinda Gates Chanzo cha picha,AFP via Getty Images Bilionea Melinda French Gates amesema mumewe wa zamani, mwanzilishi mwenza wa Microsoft Bill Gates, aliyetajwa katika faili mpya zinazohusiana na marehemu...
  6. Kinoamiguu

    Waziri Mkuu Nchemba, hazungumzi na watanzania, anazungumza na CHADEMA

    Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA. Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya...
  7. 4

    Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri. Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya...
  8. Fbn

    Kuna ujumbe toka kwa Bwana Nape nauye

    Naelewa kuna kikosi kazi cha abdul ambacho kinasubiri taarifa kisha kufikisha kwa mama yake. Siwapi hii code na mnaofahamu hakuna kueleza.
  9. Eli Cohen

    Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  10. Beira Boy

    Pokea baraka za mwisho wa mwaka , BWANA asimame nawe, ukainuke ukaongezeke

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nakutakia baraka njema za mwisho wa mwaka BWANA akasimame nawewe Ukainuke mtumishi, Ufanikiwe mtoto mdogo wa MUNGU Ikawe kheri kwako Nakutakia amani na baraka BWANA akakusamehe maovu yako yote YESU KRISTO anakuja , anazaliwa SAYUNI BOY
  11. Mcmillan de Maghayo

    Hivi huko India hamna bwana afya.

    Mzuka wana jamvi! Kuna sababu gani sasa ya kutubagua waafrika weusi. Sisi weusi ndo inabidi tuwabague. Najiuliza huko India hamna bwana afya? Video chini.
  12. Genius Man

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  13. Chibike

    Vichekesho vinavyotokea Tanzania huko kuzimu bwana shetani anaangua kicheko kweli na watu wake

    Embu ona kichekesho kama hiki Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni... Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya...
  14. Mindyou

    Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME. Kilichosomwa: "Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
  15. covid 19

    Nina uhakika kwa asilimia 85% kuwa Bwana Polepole hatauliwa, ila huenda tusimuone tena

    Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa, Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale...
  16. Dr Adam Francis

    Ni huruma za bwana kwamba hatuangamii

    [1Yoh1:8]Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. [Zab51:3]Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima [Zab51:4]Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi...
  17. Zanzibar-ASP

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
  18. Setfree

    Hatimaye yule aliyekuwa akihubiri kwamba Yesu sio Mungu amenena wazi leo kuwa Yesu ni BWANA!

    Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo. Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
  19. Kimbesa11

    Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  20. 1Africa54

    Kuna watanzania bwana eti kataa baiskeli uinusuru tanzania eeeeti

    Nouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom