Jamani tuache utani, Miss Tanzania wangu nimempata.
Huyu dada nimempenda kwa jinsi alivyo.
Smile nzuri, kasuka vizuri, na ni mzuri.
Miondoko ya madaha, na anonekana binti wa heshima.
Aliyemwibua huko alikokuwa hajulikani namshukuru.
Mwenye contacts zake naomba anipatie.
Serious nimeitazama hii...
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja.
Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.
==
Waziri...
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....
Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!
Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama...
Vyakula ndiyo vinaanza Kupikwa sasa tafadhali wengine hatujaalikwa ila kuna sehemu kadhaa dalili zote za Pilau zinajionyesha je, tutumie Mbinu gani ili tulazimishe Kualikwa?
Kama sijaalikwa Leo au hata sijatengeneza Mazingira ya Kualikwa Mchana wangu na Jioni yangu naona itakuwa mbaya na...
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe.
Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma. Ashukuriwe mola muweza wa yote.
Ni ukweli ulio wazi kuwa mh. Dr. Bashiru, Pole pole na vigogo wengine...
Katika soko la ushindani huwa mzalishaji anaangalia nini mlaji anataka na huyo mzalishaji uzingatia hicho na kukileta sokoni na hapo huwa anapata kitu kinaitwa supa au abnomal profiti, yaani faida ya juu.
Haya ni tofauti na chama cha Chadema kumlisha mlaji, wenyewe hawapendi, wanapenda kumlisha...
Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani.
Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
Habari zenu wakuu,
Ama baada ya salam napenda nijikite kwenye mada ili nisiwachoshe wasomaji. Ndugu zangu unapokuwa nje ya nchi kwa lengo fulani la kutafuta maisha, ili ufanikiwe unatakiwa ufanye haya ninayoyataja hapa chini, lkn pia kama kuna mengine ambayo sikuyaandika hapa ktk list yang basi...
Mama najua unapitapita kwenye mitandao ya kijamii direct au indirect.
Kwa siku hizi 18 ulizokaa kwenye hicho kiti kwa kweli umeleta nuru kwenye sura za watanzania walio wengi ukiacha wale Kenge walio kwenye msafara wa Mamba.
Pamoja na kauli nzuri za matumaini mpya nadhani Mama hujatamka...
! MJINGA !
Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa.
Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu.
Wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.