Jamani nisaidieni, huyu dada nimempenda bure!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,167
1622636730822.png

Jamani tuache utani, Miss Tanzania wangu nimempata.
Huyu dada nimempenda kwa jinsi alivyo.
Smile nzuri, kasuka vizuri, na ni mzuri.

Miondoko ya madaha, na anonekana binti wa heshima.
Aliyemwibua huko alikokuwa hajulikani namshukuru.

Mwenye contacts zake naomba anipatie.
Serious nimeitazama hii picha mara kadhaa nimeipenda, nimempenda
 
Mkuu nilifikiri ni mimi tu!

Huyu inaonekana ni wale wanawake ambao hata ukikosea anajishusha na kukuomba msamaha. Ni wale wanawake ambao siyo kisirani na watetea 50 kwa 50 kama wale kule twiter.

Tabasamu lake sasa ni balaa tupu.

Mimi nilimzimia toka jana.

Ila kweli anaonekana mstaarabu..Wangari mimi navyojijua nisingetoka nje! Never! Na angenishika mkono mtu ningemuuma😒!
Umasikini unitese na wengine wanitese? How
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom