bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunazikuza sana timu za Kiarabu, hazina ubora wa kutisha kama tunavyoziongelea

    Tukiweka ushabiki pembeni, kwa miaka ya hivi karibuni, club zetu za Simba na Yanga zimekuwa daraja moja na timu za kiarabu ambazo tunaziona kama ni daraja la juu sana kulinganisha na za kwetu. Ukisikia wachambuzi wakidai Percy Tau analipwa millioni 250 kwa mwezi utadhani kuwa ni nchezaji wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Messi Inter Miami ni bure, tazama msimamo wa ligi kabla na baada ya kujiunga

    Hii bi Kabla hajajiunga Inter N NIs baada ya kujiunga
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benchi la ufundi Simba viongozi mkiipata mpelekeeni Robertinho kuepuka aibu ya goli 5

    Ili kuepuka aibu ya kufungwa goli nyingi katika mchezo wa marudiano AFL kesho (pamoja na ahadi ya bilioni moja kutoka kwa Mo endapo akishinda mchezo wa kesho) kiufundi naona mambo yafuatayo yanapaswa kufanyiwa kazi. Simba wanapaswa wajiuekuwa wanatimu mbovu. Hawana Golikipa hata mmoja ukitoa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Assa Makanika: Wananchi changamkieni fursa za matibabu ya bure

    MBUNGE ASSA MAKANIKA: WANANCHI CHANGAMKIENI FURSA ZA MATIBABU YA BURE WANANCHI KIGOMA WAPATA MATIBABU BURE Madaktari Bingwa 11 kutoka nchini China 🇨🇳 wameweka kambi ya Siku 5 katika Halmashauri ya Kigoma ili kutoa matibabu ya bure kwa wananchi wa Kigoma na kutoa huduma za upasuaji na Masuala...
  6. JamiiForums Tanzania Simu Za Samsung Zimewasili na Ofa Ya Stend Ya Simu BURE

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta simu za kipekee, chache aina ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashuhudia Serikali ya Rais Samia ikimwaga vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi akiambatana na mkuu wa wilaya ya Kibondo Agrey John Magwaza, leo tarehe 03/10/2023 amekuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kampeni ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5(0-5) ambao umefanyika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe ili kuboresha uelewa wa wanafunzi

    Twende haraka kwenye mada. Mama mwenye Upendo Kwa wanae, Yuko radhi ashinde njaa, ajinyime kununua kipande Cha kanga Ili mtoto wake apate kula chakula na kupata mahitaji muhimu, Watoto mashuleni katika shule za kata ni watoto wa Serikali wawapo mashuleni. Viongozi wengi wa juu waliopo sasa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu bure inatengeneza bomu

    1. Aina ya shule ( madawati, vitabu nadra). 2. Ufundishaji (idad kubwa ya wanafunzi Vs idadi ya walimu hususani wa Sayansi). 3. Matokeo ya mtihani wa kitaifa awamu ya elimu bure..maslahi ya walimu hayazingatiwi unategemea chochote? Mpwayungu Village
  10. JamiiForums Tanzania Katiba bila elimu ni kazi bure haitatusaidia

    Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema. Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai. Nakala : Maulid Kitenge Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
  13. JamiiForums Tanzania Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

    Wakuu niende kwenye hoja. Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori. Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu wa 2025, na usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi, by that time pia ile...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

    Jamani hapa DUNIANI tupo miaka michache sana katika starehe,. Yaani ni kutoka 25 mpaka 55 Hivyo kama kuna vya kuvitumia kulingana na uwezo wako vitumie sana,. Kama ni (🍺 bia)kunywa sana ikikupendeza zaidi vuta na BANGI ndani ya hiyo miaka, Kama ni (❌ ngono) fanya sana tena hata ngono zembe...
  16. R

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Wanakata maji bure wanaorejesha kwa kati ya 15,000 hadi 150,000 bila kutumia control number;

    Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa vifaa. Wateja wenye mifumo ya maji isiyotoa maji ni wengi na hakuna sababu za kwanini maji...
  17. JamiiForums Tanzania Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
  18. JamiiForums Tanzania Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

    Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu. Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu. Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu. Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote. Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Salim Hasham Ametoa Matrekta Bure Ili Vijana Walime Wainuke Kiuchumi

    MBUNGE SALIM HASHAM AMETOA MATREKTA BURE ILI VIJANA WALIME WAINUKE KIUCHUMI Katibu wa Mbunge Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Thomas Daffa amewataka vijana wa Wilaya hiyo kutumia vyema fursa ya kilimo aliyoitoa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Salim Alaudin Hasham ili wainuke kiuchumi. Daffa amesema...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…