Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

anti-Glazer

JF-Expert Member
Apr 13, 2023
291
478
Ni hela zao wanatafuta kwa jasho lao tusiwapangie matumizi ila kwangu Mimi binafsi nawashangaa sana hao watu waoweza kutumia insta, facebook, tiktok pamoja na wale wa whasatsap status, aisee! Kwakweli Mimi nawapa salute kabisa, maana nikiangalia mb jinsi zinavyoliwa siku hizi halafu mtu anashinda kwenye hiyo mitandao 24hrs, aisee! Hongera zao
Wakuu niende kwenye hoja.

Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori. Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa ushauri tu.

Pia soma.

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu niende kwenye hoja.

Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori. Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa ushauri tu.

Pia soma.

Ova
Tafuta hela kijana
 
Back
Top Bottom