Bunge letu litoe tamko kuwa USA sio mbinguni, kwanini wampige mtoto wakati baba yupo?

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
317
1,000
Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?.

Bunge letu naliomba litoe tamko kukemea kabisa ili iwe funzo kwa mataifa mengine.
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,622
2,000

Huna huruma kabisa zile dola M500 tu zimeleta mtafaruku Spika anataka kutoa watu roho, hii ban ndo watampigia magoti beberu
 
Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
317
1,000
Thubutuuu!!!.huo ubavu wa kuijadili USA bungeni mnautoa wapi??
Nyie wasubirini akina zitto mwajadili hawa ndiyo size yenu

Hili linajadilika sio unakumbuka juzi Ndugai alimfananisha ZITTO ZUBERI KABWE (ZIZU) na TRUMP. Kama ameweza kumtaja TRUMP kwa namna hiyo, bila shaka wanaweza kumjadili yeye na serikali yake. Sisi watz na fly over na jiwe wetu, hayo ya hazi za kuishi wanadamu na haki za mikutano ni kwa CCM tu. Bunge amka ukemee.
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,544
2,000
Kuanzia sasa ccm wajifunze kujibu hoja kwa hoja, kutegema polisi na wasiojulikana kutaua chama.
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,328
2,000
Na mtoto na baba yake nao sio Mungu, kwa hiyo wasililie kwenda marekani kwa Sababu sio mbinguni,
Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?.

Bunge letu naliomba litoe tamko kukemea kabisa ili iwe funzo kwa mataifa mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uledi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
583
500
Serikali yetu iwapige marufuku Wamarekani na viongozi wao kuja hapa Tanzania kwenye nchi tajiri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom