Ukweli ni kwamba bunge lijalo halina madhara. Ni bunge kibogoyo.
Kwahiyo hata likirushwa live redioni au kwenye tv, bado halitakuwa na effect mbaya kwa serikali. Kwasababu wale wakosoaji/waibua mijadala ambao wangepata airtime kama bunge lingekuwa live, kipindi hiki hawapo. Wamebaki wagonga...