Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake".
Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe.
Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi...
Wadau,
Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa mujibu wa katiba iliyopo bunge lazima liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani, Mkuu wa Kambi, Mnadhimu Mkuu na Mawaziri Vivuli.
Tumeshuhudia Bunge lililopo halina Kambi Rasmi ya Upinzani
Halina Mnadhimu Mkuu
Halina Mawaziri Vivuli
Halina...
Tuelekee moja kwa moja kwenye swali la msingi. Miaka ile bunge lilipokuwa limechangamka ndipo yakaibuliwa maovu ya serikali watu walikuwa wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia bunge.
Leo hii sijui bunge halina mvuto, wananchi wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia kesi ya akina Mbowe kama...
Lipo tatizo tena kubwa mno kwenye Mhimili wetu wa Bunge la Tanzania.
Binafsi,hadi mchana wa leo sikuwa natambua kwamba vikao vya Bunge vimeanza huko Dodoma na imani yangu ni Watanzania wengi ambao pia hawaelewi kuhusu vikao hivyo kama vimeanza.
Sasa,kwa aina hiyo ya kupuuzwa lazima Bunge letu...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa.
Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati...
Amesikika Mheshimiwa Ndugai akiwananga baadhi ya Mawaziri:
“Hata kwa jambo ambalo liko wazi tu lakini (waziri) haambiliki hayo tumeyaona lakini sidhani kama nyie mtakuwa sehemu ya hao. Wanadamu wenzako wakikushauri wakarudia tena tena jaribu kuchunguza,” amesema.
Hivi "wanadamu wenzake" kwa...
Marco Maduhu
DODOMA
Habari
Nipashe
PAC yataja sababu Ripoti ya CAG kutochambuliwa kwa wakati bungeni
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Japhet Hasunga, amebainisha sababu inayosababisha Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
Mamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mshahara.
Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na kuimba "tunataka kusoma" na "ikiwa hatutasoma, tutatumia dawa za kulevya".
Maandamano ya aina hiyohiyo yalitokea katika mji wa Beni kaskazini mwa Kivu ,kwa...
Nawaza jambo hapa, kuwa kuna mihimili 3 ya Dola.
1. Bunge ambalo kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge
2. Serikali ambayo kiongozi mkuu ni Rais na
3. Mahakama ambayo kiongozi mkuu ni Jaji Mkuu, na kuna dhana kwamba mihimili hii haingiliani.
Swali: Kwanini kwenye Bunge na Mahakama kuna picha ya...
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo).
Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?
Je,taarifa za aina hii...
Imekua kawaida kwa Bunge kupitisha miswada mbalimbali inayohusu maslahi ya walio wengi haswa wa kipato cha chini lakini miswaada hio imekua michungu mithilii ya siki katika Maisha ya wananchi wa Hali ya chini na umekua Kama utamaduni baada ya miswaada hio kupitishwa Raid anakuja kutengua...
Bunge limesitisha kwa muda shughuli zake za leo ili kujadili changamoto ya bei duni inayowakumba wakulima wa mahindi nchini. Wabunge wameeleza kutoridhishwa na bei ndogo ya mahindi, bei ghali ya mbolea hivyo wameitaka Serikali kuiongeza hela NFRA ili inunue mahindi kwa wakulima.
Waziri wa...
CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania.
Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali
Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.