bunge

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Wanafunzi walivamia Bunge wakitaka Walimu wao waongezewe mshahara

    Mamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mshahara. Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na kuimba "tunataka kusoma" na "ikiwa hatutasoma, tutatumia dawa za kulevya". Maandamano ya aina hiyohiyo yalitokea katika mji wa Beni kaskazini mwa Kivu ,kwa...
  2. Sukari Yenu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

    Nawaza jambo hapa, kuwa kuna mihimili 3 ya Dola. 1. Bunge ambalo kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge 2. Serikali ambayo kiongozi mkuu ni Rais na 3. Mahakama ambayo kiongozi mkuu ni Jaji Mkuu, na kuna dhana kwamba mihimili hii haingiliani. Swali: Kwanini kwenye Bunge na Mahakama kuna picha ya...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

    Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani. Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge, ni jambo litalopita kama yalivyopita mengine mengi

    Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo). Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu? Je,taarifa za aina hii...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Sheria Ndogo ya Bunge

    Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
  6. Agrey998

    JamiiForums Tanzania 'Competence' ya Bunge letu inanitia mashaka kwa kweli

    Imekua kawaida kwa Bunge kupitisha miswada mbalimbali inayohusu maslahi ya walio wengi haswa wa kipato cha chini lakini miswaada hio imekua michungu mithilii ya siki katika Maisha ya wananchi wa Hali ya chini na umekua Kama utamaduni baada ya miswaada hio kupitishwa Raid anakuja kutengua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Mbunge wa Bunge

    Ni yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa SADC.
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

    Bunge limesitisha kwa muda shughuli zake za leo ili kujadili changamoto ya bei duni inayowakumba wakulima wa mahindi nchini. Wabunge wameeleza kutoridhishwa na bei ndogo ya mahindi, bei ghali ya mbolea hivyo wameitaka Serikali kuiongeza hela NFRA ili inunue mahindi kwa wakulima. Waziri wa...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  10. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Spika na Bunge lake; ni maadili au hasira ya kutotaka kulipa kodi? Mwigulu aliyeshauri tuhamie Burundi je?

    Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
  11. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Bunge mmeliheshimisha Taifa

    Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu. Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kupeleka azimio la kumwondoa Spika Ndugai; analidhalilisha Bunge kwa maamuzi ya ovyo

    Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad. Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla. Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu. Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa...
  13. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

    Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo. Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
  14. Sajo

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kwa Askofu Gwajima na Silaa; Je, wana ugomvi binafsi na Spika wa Bunge? Angalia utaratibu uliotumika

    Hivi ndivyo ilivyojiri kikaoni (bungeni) tarehe 31 Agosti 2021 (sio rasmi) Mwenyekiti wa Kamati: (Baada ya kuwasilisha taarifa ya kamati) Mheshimiwa Spika, Natoa Hoja wabunge hao wasimamishwe kuhudhuria mikutano miwili ya bunge Spika Ndugai: Hoja imepokelewa na kuungwa mkono. Spika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alilidharau Bunge? Tume huru na Katiba Mpya ndio suluhisho

    Mambo baadhi alikuwa anakatisha njia ya mkato bila ya kupitia Bungeni, hivi mnajiuliza kwa nini ? Bunge hili Msilitegemee kuwaletea maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli hakulipa umuhimu kivile lilikuwepo kikatiba na si kiutekelezaji au kuwa na nguvu ya maamuzi maana Mheshimiwa Magufuli (al...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu ya Jerry Silaa, Bunge linategemea kuaminiwa?

    Hii ni kwa kutuona je? 1. Kadhia ya mbunge Jerry Silaa ambapo yeye akiwa Mbunge na bila kushawishiwa na mtu anaona wabunge akiwamo yeye hawalipi kodi stahiki. 2. Wananchi tunajua zipo njia nyingi ambazo watu wasiokuwa na uzalendo huzitumia kukwepa kulipa kodi. 3. Hukumu ya bunge kwa mbunge...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Bunge lanuka dhidi ya Gwajima na Jerry Silaa

    BUNGE LANUKA DHIDI YA GWAJIMA NA SILAA WAKATI nchi ikisubiri kwa hamu na ghamu hatima ya tozo za mihamala ya simu, Bunge limewahukumu Wabunge Josephat Gwajima wa Kawe na Jerry Silaa wa Ukonga (wote kutoka CCM). Hii ni kufuatia kauli za kichochezi na uongo uliovuka mawingu. Baada ya kuhojiwa...
  18. pakaywatek

    JamiiForums Tanzania Bunge linamjadili mtu kwa uchungu kuliko kujadili yanavyoumiza wananchi

    Ukifuatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni. Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia wanavyomjadili Silaa na Gwajima utafikiri ndo hayo waliomba kura wakayajadili huko bungeni.
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

    Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Watumishi 4,380 walioondolewa kimakosa warejeshwa kazini

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza...
Back
Top Bottom