bunge

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii imekaaje wadau?
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Bunge lisiwe Taasisi ya CCM

    Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na sakata la Ndugai. 1. Kwanza, inaonekana Bunge ni tasisi ya CCM ndio maana hata speaker kwenye barua...
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania Bunge la S.Sitta (Mwendokasi) Mhimili Imara si Bunge la Ndugai (Dhaifu), tunda la udhaifu limeonjwa na UVCCM

    Wana JF. Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi furaha huwa wanategemea baada ya giza totolo watapata nini, kelele za atoke zilishamili sana bila...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameua Mhimili wa Bunge, bado kumalizia wa Mahakama. Haya si ya kushangilia

    Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili. Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua. Matokeao yake unaweza...
  5. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Imani ya Bunge haiwezi kujengwa chini ya Tulia Ackson

    Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais. Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia vunja Bunge lote, ita uchaguzi mpya

    Wabunge walioingia mjengoni kwa Hisani ya mwendazake hawawezi kuwa na uchungu na wananchi wa majimbo yao wala nchi kwa ujumla. Na kwa maana hiyo hawawezi hata siku moja kukusaidia katika kuondoa umasikini Tanzania. Kila utalosema wao akili zao zote ziko Chato na zaidi wanachowaza ni mwaka 2025...
  7. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ndugai nyoosha maelezo, mikopo haikupata idhini ya Bunge!!

    Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema .......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi trilioni 6.245. Zaidi ya watu wachache tu serikalini, sio Bunge wala watanzania kwa ujumla wetu...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

    Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Staajabu Siasa za Afrika; Bunge kumchagua Rais mpya nchini Uganda?

    Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna. Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa masahibu yanayompata Ndugai, pamoja na kauli yake kwamba anaumwa,ana faili Mirembe na kauli ya Erasto Ngole, asiendeshe Bunge Februari 2022

    Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022. Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai awadhibiti wanaodhalilisha Bunge

    Kuna watu siku za karibuni wamesahau kuwa bunge ni mhimili na Mh. Job Ndugai ndiye aliye mkuu. Hali hizi hazina afya hata kidogo: Huku ni zaidi ya kutaka kumchezea sharubu chui aliyejeruhiwa. Mh. Job Ndugai unavyo vyombo vya kutosha chini yako. Kwa hakika tunaamini unavyo vyote...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Dhana ya bunge kuwa muhimili unaojitegemea kuishauri na kuisimamia serikali iko wapi?

    Wote tumeona spika alivyoshushiwa spana na wakuu wa dola pamoja na wale wengine kwenye chama. Hebu tujiulize kidogo, mnapomuondoa spika kwa kutimiza wajibu wake mnapeleka ujumbe gani kuhusu bunge kuwa mhimili huru wa kuishauri na kuisimamia serikali, je, bunge litabaki kuwa kikaragosi cha...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais na kula kiapo cha utii kwa Rais, sio Spika. Hatakubali ratiba ya kumhujumu Rais iingie Bungeni

    Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze. Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi ambayo Amiri wake ni SSH, wanamtii, hii ni pamoja na maafisa usalama wa pale Bungeni, Wana utii moja kwa...
  16. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati muafaka wa bunge kuonyesha weledi na ukomavu wake

    Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM imejidhalilisha, kumbe huwa inawapa Maspika kusimamia mhimili wa Bunge ili kuficha madhambi na makosa ya serikali yake

    Jana ndio kila picha limeungua hapa nchini. Maana kauli za mkuu wa nchi na mwenyekiti wa CCM zimefunua macho watanzania. Kumbe mtu kuwa spika lazima uaminiwe na wanaCCM ili kulinda maslahi yao na ya chama chao kwa kuficha makosa yao na madhambi yao. Ila ukifanya kazi ya kusimamia serikali na...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali wa Mkuu wa mhimili wa Serikali na Bunge, ni "neema" kwa Vyama vya Upinzani

    Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni deni la Taifa linalohatarisha usalama wa nchi yetu kupigwa mnada. Hoja pekee na ya nguvu...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndugai asimuite Samia kuja kujieleza kwenye Kamati ya kudumu ya Haki na Kinga za Bunge?

    Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa bunge, nadhani kuna haja ya Ndugai kutumia yale mamlaka yake ya siku zote aliyonayo kikatiba ili kumtaka...
Back
Top Bottom