bunge

  1. Watanzania mnapenda Bunge lijalo 2025 - 2030 liwe na sura gani?

    Watanzania, SALAAM! Hivi sasa kwa tathmini ya haraka ufuatiliaji wa mijadala ya Bunge kwa wananchi wa kawaida umepungua kwa takriban asilimia 30. Kwamba kwa kila watu wazima 10 ni watu 7 tu wanaoweza kufahamu mambo ya kibunge na bunge. Tofauti na mwaka 2005 - 2010 ambapo kwa kila watanzania 10...
  2. Raila Odinga: Serikali ya Rais Ruto 'imeliteka' Bunge, sasa limekuwa 'hanisi'

    Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to conduct its oversight role on behalf of Kenyans. Speaking during the burial of Phyllis Mawathe, the...
  3. Kenya: Kaunda suti haziruhusiwi ndani ya Bunge

    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa vyombo vya habari na wageni Pia alieleza kuwa wasio wabunge ni lazima wakati wote wavae vitambulisho...
  4. Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Wakikagua Miradi ya Umwagiliaji Arusha, Tabora na Iringa

    Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA. Pia, Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ilifika kwenye shamba la Mbegu Kilimi Nzega, Tabora kufuatilia utekelezaji za mradi...
  5. U

    Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  6. Kamati ya Bunge Yaridhishwa Miradi ya Umwagiliaji Mashamba ya TARI na ASA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA) ikiwemo shamba la mbegu Ngaramtoni pamoja na shamba la mbogamboga Tengeru mkoani...
  7. Bunge la Kenya laidhinisha Polisi kutumwa nchini Haiti

    Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa kesi. Uamuzi wa wabunge hao ulikuja siku ya Alhamisi, mara tu mahakama ilipokuwa ikisikiliza ombi...
  8. Kamati ya Bunge - Nishati: Mgawo wa Umeme mwisho Aprili 2024

    Hadi kufikia Mwezi April mwaka 2024 Watanzania hawatakuwa na tatizo la mgao wa umeme kufuatia kukamilika kwa vituo vya kuzalisha umeme sambamba na kuanza kwa uzalishaji wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere. Kauli hiyo imetolewa na David Mathayo mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati...
  9. R

    Afrika Kusini: Bunge lapitisha Muswada wa bangi kwa matumizi binafsi

    Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023. Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
  10. Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea Kiwanda cha Maji Mgulani kuona mitambo mipya

    Mwenyekiti Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Kawawa amesema wameridhishwa na jinsi SUMA JKT walivyotekeleza maelekezo yao kwa kukifanya kiwanda cha maji ya Uhuru kuongeza kasi ya uzalishaji. Ameyasema hayo kwa niaba ya wajumbe wa Kamati hiyo wakati wa ziara kwenye kiwanda hicho...
  11. M

    Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

    Mzuka wanajamvi, Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
  12. Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023 kusomwa kwa mara ya kwanza Bungeni, leo Novemba 10, 2023

    Orodha ya Shughuli za leo. Dua Maswali na Majibu Miswada mbalimbali ya Sheria kusomwa kwa mara ya kwanza ikiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Aidha, muswada wa sheria za marekebisho ya vyama vya siasa (2023) utasomwa kwa mara ya kwanza...
  13. Serikali: Sehemu zenye maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa wingi ndizo ambazo pia zina wagonjwa wengi wa Seli Mundu

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 8, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/live/EJYdReKJgo4?si=HbiC7GkWhGzGquFd Kwa mujibu wa takwimu za Mfumo wa Taarifa za Uendeshaji wa Huduma za Afya (MTUHA), jumla ya wagonjwa 86,990 wa Sickle Cell walihudumiwa kwa mwaka...
  14. Mbunge ataka Bunge lisitishe shughuli zake kujadili vurugu, watu kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
  15. Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS kukarabati mifereji, Novemba 7, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 7, leo Novemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/1XyCg-1VaDw?si=ZauwTRbVZHBthDGw NAIBU WAZIRI: CHANGAMOTO YA MTANDAO WA VODACOM IMEATHIRI WATU MILIONI 1.8 BUNGENIWizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi...
  16. Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  17. Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) yakagua ujenzi wa Makazi ya Askari Zimamoto - Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Vincent Mbogo (Mb) imefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji unaoendelea katika eneo la Kikombo Jijini Dodoma Novemba...
  18. R

    Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  19. Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  20. Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…