bunge

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Kumi na Moja, Tarehe 17 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=8uvLPbFDq_0 https://www.youtube.com/watch?v=c6ZEtlNlok0
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Kumi, Tarehe 16 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=XFLMyP0H5Eg
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Tisa, Tarehe 15 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=GS2Rk1adf7g
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Bunge la Iran limetangaza kuongeza mishahara April 2026, kwa wafanyakazi baada ya vita

    kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Nane, Tarehe 14 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=YtGBiv_fYW0
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Saba, Tarehe 13 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=VvQLjIQ2VP4
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Tano, Tarehe 09 Aprili, 2026

    Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 9, 2026 pamoja na mambo mengine Wabunge wateule wawili wataapa kiapo cha uaminifu na ahadi ya Uzalendo, wakiwa ni Wabunge wapya walioteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Wabunge hao ni Angela...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Nne - Tarehe 08 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Psny9WO33AE
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Ku1LCNIqQq8
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge laagiza kikao cha dharura kujadili kupanda kwa bei za mafuta

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi. Hayo yanajiri...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/live/y2tNlsDr__w?si=9IPAOA2qmJC0XXky
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Spika wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf aangamizwa!!

    Ameangamizwa leo hii Mohammad Bagher Ghalibaf, Spika wa Bunge la Iran Watetezi wa Magaidi Adiosamigo mdogoee na Mmbeya wa JF zitto junior njoni mkanushe hapa tuone!!!!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kura Tatu

    1958-9 Tanganyika Legislative Council. There were 10 constituencies. Voters voted for an African, Asian and European candidate in each constituency. Front row from right : Shyam Thanki (Southern - Asian - Lindi), Rashid Kawawa (Dar es Salaam - African), Julius Nyerere (Eastern Province -...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge

    Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Je, Tutafika Kweli? Tunapotazama Majadiliano ya Bunge

    Swali la kujiuliza ni hili: Je, kweli tutafikia malengo ya maendeleo ya taifa kama mijadala mingi katika Bunge inaishia kwenye masuala madogo kama ujenzi wa vyoo, madawati na majengo ya shule? Hili ni swali muhimu hasa tunapotazama malengo makubwa ya taifa kama yale yaliyowekwa kwenye Tanzania...
  20. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Bungea La Tanzania kuandaa mkutano IPU 153

    SPIKA wa Bunge Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong, leo Februari 27, 2026, wamesaini mkataba unaowezesha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026 jijini Arusha. Spika Zungu...
Back
Top Bottom