bunge

  1. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Jacob Oboth-Oboth aapishwa kuwa Spika wa Bunge Uganda

    Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo. Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura. Anachukua nafasi hiyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Thelathini Na Sita Tarehe 25 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=X3JC2Q0H9 ========= MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. PASCHAL KATAMBI PATROBASS (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27 UTANGULIZI...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ghati Chomete awasilisha maoni ya kamati ya kudumu ya bunge kuhusu utekelezaji 2025/26 na makadirio ya mapato na matumizi 2026/27

    MHE. GHATI CHOMETE AWASILISHA MAONI YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE KUHUSU UTEKELEZAJI 2025/26 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI 2026/27 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 22 Mei, 2026 akiwa katika mwendelezo wa Bunge la Bajeti Jijini Dodoma amewasilisha Maoni...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Spika Bunge la Uganda Annet Among akabiliwa na shinikizo la kushitakiwa kwa ufisadi

    Aliyekuwa Spika wa Bunge la Uganda, Anita Annet Among, anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kutoka kwa baadhi ya wabunge kufuatia madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Baadhi ya Wabunge wameanza mchakato wa kukusanya saini za kumtimua yeye na wajumbe wengine wa Kamisheni ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao cha Thelathini Na Mbili Tarehe 19 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=e57lhdpRXFg
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 31, Mei 18, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=0OJXfGzcMgk
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui kuhusu Putin yote afanyayo yanapata baraka za bunge lake..

    WHO IS NEXT Russian parliament approves law allowing Putin to invade other countries Huyu bwana Putin ni smart sana hakurupuki kama wengine . Wengine wanaweza kukurupuka tu asubuhi na kuanzisha vita bila baraka za bunge la nchi yake na kusababisha madhara. Madhara hayo ya vita yakamkuta hata...
  8. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mfumo wa Sauti wa Bunge wabuma, wabunge warudishwa ukumbi wa Msekwa!

    Leo, Mei 14, 2026 Mfumo wa sauti Bungeni umebuma. Wabunge wamerudi ukumbi wa Msekwa. Vifaa viliwekwa na Mchina, ku-upgrade wameleta Mzungu, ngoma imebuma. Jana jioni ilianza kupiga alarm ya moto ilhali hakuna moto. Kazi kwelikweli
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 27, Tarehe 12 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=ZVpL2Tbg5Yw
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bunge lifanye jambo pale kwenye katiba ili Mama atuongoze angalau kwa miaka mingine 7 baada ya 2030, ndo hitaji la wananchi wengi kwa sasa

    Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba. Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee kuongoza kwa miaka mingine 7. Wazalendo tunataka mama amalize kabisa malengo yake mema kwa nchi hii...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Ishirini Na Sita, Tarehe 11 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=OYri4wkYHdc
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bunge lifute viti maalum-mzigo kwa Taifa

    Wabunge wa Viti Maalum hawajui kazi zao, hawajui miongozi, hawajui kanuni lakini hawajui maana ya Bunge na wamekuwa wakuzungumzia maisha yao binafsi wakitaka kuaminisha ni tatizo la kitaifa na ukiangalia mochango mingi huwa ni mahusiano.
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Bunge letu Liweke Wakalimani wa Lugha kuepusha hizi aibu za kushangilia kama Majuha kwa kutokuelewa

    Hili linalojadiliwa na vyombo vya habari vya nje mfano hii FM Radio 47 linatufedhehesha sana. Tuna kundi kubwa sana la wabunge "machawa" na hawaelewi lugha zinazoruhusiwa bungeni mfano English kiasi kushangilia kama mazuzu na yasemwayo yanatuaibisha WaTZ wote. Kama ni lazima kuwaingiza bungeni...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 23, Tarehe 06 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=ccIXTSjIcMs
  15. B

    JamiiForums Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026

    05 May 2026 Dodoma, Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026 RUTO - MAADUI WETU SI WATANZANIA AU WAKENYA MAADUI WETU NI UKOSEFU WA AJIRA, UMASIKINI, MARADHI, NARUDIA WATANZANIA NA WAKENYA SI MAADUI WETU https://m.youtube.com/watch?v=mimwwdurzMU...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 22, Tarehe 05 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=24JUhKfO2fI
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kambarage Wasira akiomba kura kwa wabunge kumchagua kuwakilisha katika Bunge la EALA

    Kambarage Masatu Wasira akiomba kupigiwa kura za ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Mei 4, 2026 Bungeni Dodoma
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha 21, Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=QrOC2UqMrIY
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Kumi Na Nane, Tarehe 28 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=QtQXXzj1Olc
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Kumi Na Saba, Tarehe 27 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=pbHATi1OYOE
Back
Top Bottom