MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,645
- 7,758
WHO IS NEXT
Huyu bwana Putin ni smart sana hakurupuki kama wengine .
Wengine wanaweza kukurupuka tu asubuhi na kuanzisha vita bila baraka za bunge la nchi yake na kusababisha madhara.
Madhara hayo ya vita yakamkuta hata chakubanga aliyeko mbagala kwa kupandishiwa nauli ya daladala na yeye akabaki amekenua meno asihoji kwa nini na nani kasababisha.
Russian parliament approves law allowing Putin to invade other countries