bujibuji

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Barrick Gold yakaribia kufikia malengo yake Tanzania

    Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imetangaza kuwa imezalisha dhahabu karibu wakia 500,000 kutoka kwenye migodi mitatu iliyopo Kaskazini mwa Tanzania, mwaka jana. Hii ni mara ya kwanza kwa kampuni ya Barrick kushirikiana moja kwa moja na serikali ya Tanzania katika...
  2. sabuwanka

    Uanaume na mazoezi ya mwili ni pacha

    Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia kubwa husababishwa na mwili kutokuwa na mazoezi ya kutosha ya kuushughulisha moyo (cardio). Jambo...
  3. Baba ilumba

    Sababu zinazopelekea kuongezeka kwa vitendo vya ukatili kwa watoto katika jamii

    Kwa miaka ya hivi karibuni jamii imekuwa ikishuhudia vitendo vingi ambavyo kwa namna moja ama nyingine si vya kingwana kabisa hasa kwa watoto wadogo waliopo chini ya umri wa miaka 15. Sababu zimekuwa nyingi mno zinazopelekea kwa vitendo hivi kuwepo na kuongezeka kwa kasi sana baadhi ya sababu...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    2003 Boeing 727-223 disappearance. Tukio la ndege kuibiwa ikiwa uwanjani na kupotelea kusikojulikana

    Ilikuwa Siku ya Jumapili ya tarehe 25 May 2003, ndege aina ya Boeing 727, iliyosajiliwa kwa namba N844AA, iliibiwa kwenye bwana wa ndege wa Quatro de Fevereiro Airport, Luanda, Angola. Kupotea law ndege hii kulipelekea msako mkali duniani kote huku ukiongozwa na shirika la upelelezi la...
  5. Tuko

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Wapo watu ambao wanasumbuliwa na tatizo sugu la chunusi, madoa doa na kuharibika kwa ngozi. Ingawa chunusi hizi mara nyingi hutikea usoni, wakati mwingine hutokea pia katika maeneo tofauti ya mwili. Kwa bahati mbaya baadhi ya waathirika wa chunusi wamejikuta wakitumia madawa mengi bila...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Matatizo yanayo husiana na maradhi ya figo na ufumbuzi wake

    Ugonjwa wa figo Figo ni ogani inayoshirikiana na moyo. Kuathirika kwake kuna athari kubwa kwa mfumo wa damu na mapigo ya moyo. Magonjwa sugu ya figo hutokea pale ogani hiyo inapopoteza uwezo wa kutenda kazi zake kikamilifu. Tatizo huanza taratibu na kudumu kwa muda mrefu hadi kuonyesha dalili...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake

    Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake. Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake Wasichana na wanawake hutumia tembe za kupanga uzazi nyakati ambapo wameshiriki ngono bila kinga na wanahofia kuwa wanaweza kupata uja uzito ambao...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wamerakani wataka Rais Magufuli aje kuwaongoza na Rais Trump aje kuongoza Tanzania

    WANANCHI WA MAREKANI WANAWAOMBA WANANCHI WA TANZANIA WABADILISHANE UONGOZI WAMAREKANI WANAMTAKA RAIS MAGUFULI AWE RAIS WAO AENDE KUIONGOZA MAREKANI. NA RAIS TRUMP AJE KUIONGOZA TANZANIA. .JE WATANZANIA MUTAKUBALI KUONGOZWA NA RAIS TRUMP? 👇😅😂🤣😍👇
  9. laii

    Nguvu ya Ulimi (Power of the Tongue)

    NGUVU YA ULIMI. Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue).Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii, hasa JamiiForums?

    Mwanadamu yeyote kitu anachotarajia kabisa maishani ni furaha na amani. Utataka upate mpenzi mzuri, mrembo kuliko wote ili akupe furaha. Mwanamke atataka mpenzi mwenye hela, mcha Mungu, mpole, etc akitarajia furaha. Utataka gari Kali sio kwamba likusafirishe tu, Bali pia likubebee jina lako...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    #COVID19 Njia ya kujikinga na mlipuko wa virusi vya homa ya mapafu au Coronvirus

    NJIA YA KUJIKINGA NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA HOMA YA MAPAFU AKA CORONAVIRUS 1) Njia ya Kwanza Kaa nyumbani hiyo ndio njia kubwa ya kujikinga na huo Mlipuko wa mambukiz ya homa ya Mapafu Ukikaa nyumbani utakuwa umejilindana Maradhi. 2) Njia kuu ya pili unapotka nje ya nyumba Tafadhali vaa Mask...
  12. Analogia Malenga

    Dar: Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mvua zinazoendelea

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 10:15 jioni kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam Wasafiri wanashauriwa kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza kuendelea na...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mlipuko wa maradhi ya homa ya mapafu corona virus duniani kote

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema: 1. Wahi kununua Mask kwa familia, mlipuko ukianza hizo Mask hazitaweza kupatikana kiurahisi 2. Nunua...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mnanipa ushauri gani kuhusu huyu mbwa?

    Aka kambwa toka nikanunue hakabweki kabisa! sijui Tatizo litakua nini wadau
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    MAMA NA MAISHAHISTORIA YA UKWELI KABISA SOMA UPATE ELIMU

    Mama ni Maisha. Picha ya kweli baada ya operation iliyodumu kwa masaa 7. Mtoto aliyezaliwa yupo mikononi mwa Mama yake, na upande wakulia ni daktari akiwa analia kwa uchungu sana.! Uyo Mama alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa zaidi ya miaka 11, ikafika wakat akakata tamaa kabisa yakuja kupata...
  16. FRANC THE GREAT

    WhatsApp kusitisha huduma kwa mamilioni ya simu (Smartphones)

    Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook iliweka wazi katika ukurasa wake wa msaada, simu za mikononi ambazo hazitaweza kupata programu hiyo...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Madhara ya kutumia vidonge vya Viagra

    MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA AU VEGA ( Sildenafil)? viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzazi yaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha...
  18. Cleverman324

    Biashara ya Samaki vs Maziwa

    Habari wanajamvi nimerudi tena hustler mkomavu. Mwanzoni mwa mwaka niliweka nadhiri ya kutembeza biashara kutokana na mtaji kuwa finyu nilianza na mtaji wa 42,000 kwa kuwa baadhi ya vifaa nilikuwa navyo, nilianza kuingia mitaani kuuza samaki kwa miezi miwili mfululizo nikaweza kuanzisha...
Back
Top Bottom